Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Kuna jamaa namjua kabisa na alioa mke msomi na mzuri na mfanyakazi serikalini.
Kwenye idara ya mke wake aliletwa mkuuu mpya, ambaye alikuwa Ex wa huyo mwanamke.
Jamaa alimpa optio kuacha kazi au kuacha ndoa...
Kwahiyo aliacha posho na marupurupu ya ex boss na tu-trip twa kula bata 😹😹
Bora ndoa ife kwanza siku hizi sio dili km zamani.!!
 
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.

Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Wamekutuma uwasemee? Wake zetu unatupangia madharti ya vile unavyotaka wawe, nani anakupangia mipango ya mkeo?
 
Kama tungeona matunda mazuri ya kazi wanayofanya na heshima ikawa kwenye mstari wake baasi tungewaruhusu wakachakarike,

Lakini kitendo cha boss kuheshimiwa na kusikilizwa kuliko mme na bado tunda unapewa Kwa kupangiwa maana kachoka Kwa kupata mda mdogo kupumzika
Upande wangu acha tuendelee kuigawana hiihii nayoitafuta mwenyewe

Hawa viumbe wasahaulifu saana
Umeongea point sana hapo mwisho
 
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.

Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Mke lazima aishi kwa matakwa ya mumewe,amtii na amheshimu,kama kaambiwa akae nyumbani anakula na kuvaa na mahitaji yote anapa wewe unatesekaje,
Na kwanini uwaze kufa ili usifanye kitu fulani,hayo ni mawazo na akili ya masikini
 
Mwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.

Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.

Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
Pata bia nakuja kulipa
 
Badilika mkuu una fikra za kale sana
 
Wengi walioachishwa kazi wamekuwa watumwa kwa waume zao wamekuwa ovyo hawavutii kabisa na akili inadumaa kwasababu mda wote yupo nyumbana kazi yake kusafisha nyumba
Unatakiwa kumvutia mumeo tu na si wengine,na sio utumwa bali ni kuwa na heshima na utiifu kwa mume wake ,viruka njia pekee ndio wanaoweza kuona ni utumwa,
Wanawake ni viumbe dhaifu sana,nakazia DHAIFU SANA
 
ni bora mke kuumpa biashara yake aisimamie mwnyw kuliko kuajiriwa,
hv utajisikiaje ukienda ofisi alipo mke wako halafu ukamkuta anafokewa na boss wake
 
Yani mzee wangu kala msoto kunilipia ada havai vizuri hatuli kuku Nije nipate kazi mtu aniambie acha kazi 😄😄😄😄
 
Mwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.

Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.

Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
Mda huo unawatunza na wazaziwake waliomsomesha Kwa tabu na shida nyingi?
 
Back
Top Bottom