Nadhani kama una biashara au miradi ni vyema ahusike katika kukuza ama kuendeleza, japo siyo vyote atapata kujua.....
Hii itamjengea uwezo wa kusimamia kitu chochote ikiwa umekosa nafasi, ni mgonjwa, umekufa, au haupo karibu na miradi yako!
Hata kama Kuna wafanyakazi anakuwa msimamizi...... Apate experience ya kazi
Nina shuhuda ya hii kabisa..... watu waliokuwa wanawashirikisha wake zao kwenye biashara au miradi na kuona matunda hata ingawa hawapo duniani.....
Kuajiriwa sio kipaumbele kwa mwanamke wangu......
Ni maoni