Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

We kinakuuma nini? muache mke wako akafanye kazi sio wake zetu, Ili pia kusiwe na upinzani auze sana akiwa peke yake, maadam mwenyewe ameelewa ameacha kazi wewe nini kinakuwasha washa? Wanawake zetu ni wafalme wanaume tunawajibika tunawatunza wapendeze tuwafaidi, sio tuwatoe juani wapauke kwa biashara gani? Kwa kazi gani?
Jifikirie tena
 
nisikilize mwachiluwi, duniani kuna watu aina mbili; conservatives, na liberals

conservatives wanaishi kitamaduni, wanaangalia dini zinasemaje

liberals wana upokeaji mkubwa wa taarifa, wanashawishika, hawana mhimili mmoja wa kuitazama dunia

sasa kama mtu anaamini mungu kasema mwanamke akae nyumbani, unamshawishi vipi?

haya mambo yapo nje ya uwezo
 
nisikilize mwachiluwi, duniani kuna watu aina mbili; conservatives, na liberals

conservatives wanaishi kitamaduni, wanaangalia dini zinasemaje

liberals wana upokeaji mkubwa wa taarifa, wanashawishika, hawana mhimili mmoja wa kuitazama dunia

sasa kama mtu anaamini mungu kasema mwanamke akae nyumbani, unamshawishi vipi?

haya mambo yapo nje ya uwezo
People are dynamic due to the environment
 
No, they are not.

Changes take years, mostly due to acculturation.

ina maana hujui kuna wanawake pia wana huo msimamo, hawataki kwenda kazini?
Some of them but not all women

Due to the life now all of them needed to work hard for welfare of the family and children's
 
Some of them but not all women

Due to the life now all of them needed to work hard for welfare of the family and children's
That's YOUR take.

The world is way too big for people to think the same kind of way.

Understanding that will lift a huge weight off your conscience.
 
Imagine wanawake millioni 1 wenye uwezo wa kufanya kazi wakae nyumbani kama magolikipa.
Huoni tatizo kwenye uzalishaji na uchumi wa nchi kwa ujumla?
Hamna shida infact litapunguza vijana wa kiume watakaokuwa wanazunguka na bahasha na kupunguza BODABODA na MAAFISA UBASHIRI.

Pia wanawake wakibaki nyumbani uchumi utakuwa, sehemu nyingi za uzalishaji ambapo wanawake wapo uzalishaji ni MDOGO SANA ni vile tu ukweli hausemwi na pia kelele za ukosefu wa ajira zitaisha au kupungua kabisa maana vijana wa kiume watakamata fursa hizo.

Pia ratio ya mgawanyo wa kipato na faida za utumishi kama bima ya afya kwa watu 6 itagawanyika vizuri kwakua kila mwanaume atawajibika kwa mganyo sawa tofauti na ilivyo sasa.

Ni wanaume WAVIVU NA WAOGA pekee ndio wanahubiri kusaidiwa majukumu ya kuhudumia familia na wake zao. Hawa MABWEGE ukiwakuta wapo na wake zao ni kama MASHOGA hayana sauti na ni ukweli ulio wazi nyumba nyingi zenye migogoro ya ndoa ni ya hawa MABWEGE wa 50/50.

Kwa kiasi kikubwa nyumba nyingi zenye wanawake wanaofanya kazi mchango wao katika kurun familia ni chini ya 20% asilimia zaidi ya 80% bado mwanaume utabidi utoe hela kama mnabisha bisheni ila kwa wenye akili ni bora hiyo asilimia ukacover mwanaume maana hata kibiriti na chumvi hawanunui watakupigia simu utume hela au wakusubiri urudi jioni hii ni hatakama mshahara umetoka leo, MWANAMKE NI KIUMBE CHA AJABU SANA,ni bora hiyo hela akacheze upatu na kwenda saloon kuliko kufanya maendeleo nyumbani.

Oeni magoalkeeper kama mnataka muishi kwa AMANI ila kuna wale MATOMASO endeleeni kujidanya na kuamini 50/50 tupo hapa panapo majaaliwa KUWABAGAZA KWA MANENO MACHUNGU MTAKAPOKUWA MNALETA VISA VYENU VYA NDOA😀😀😀
 
Mwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.

Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.

Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
Safi sana.
 
Back
Top Bottom