Kumzuia mke kufanya kazi, ni, ukatili wa, kijinsia wa, kishamba Sana, unakuta kuna njemba Ina mke, tena graduate, amekaa darasani miaka minne, dokta, wakili, au injinia, njemba inamkataza asifanye kazi, sasa Bora uwe na ukwasi kama wa bakheresa, hata ukitaka mkeo asiajiliwe kwingine, umuajiri wewe na umpe salary kubwa sawa, sasa wewe salary yako, chini yq milioni 24Kwa mwaka! Hutaki mke afanye kazi, sasa kwa nini alisoma, na unakuta unasomesha ns binti zako, why! Wakae nyumba ni tu, maaana kwako mwanamke, ni wa nyumba ni tu, elimu ya chuo ya nini!
Kuna wale waliojipanga, unaunakuta ana biashara zake kubwa, anaweza kuwa na hoja ya kutaka mkewe afanye nae kazi, lakini kumzuia mtu mzima mwenye akili na uwezo wake akae nyumbani tu! Kupika na kupakua! Mpaka siku anaingia kaburini! It's backward, primitive, barbaric, and, stupid