Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Sijui ni Maendeleo gani unayoyataka.
Mimi nina mamlaka kamili kwa wake zangu wote.
Nalala nao nnapotaka bila mtu mwingine kuwapangia ratiba eti arudi nyumbani kwa kuruhusiwa na boss wake! Lol!
I'm the only boss to my wives and enjoy the life na sioni nakosa Maendeleo gani unayoyataka wewe
Kwahy wao kazi yao kula kulala na kulea watoto?
 
Kama Huna Wivu Kwa Nini Uamue Kufuga Binadamu Ndani?Hiyo Tv yako Una wivu Nayo Sembuse Mke ! Vijana wa Sasa Hamna mlijualo Mapenzi bila Wivu Ni sawa na Gari bila Matairi Na ukijiona huna Wivu Jua Ndoa sio Size Yako Nenda kajimalize kule kwa Buku 3.
Wivu upo lakini sio hivyo kama ufikilivyo
 
Mimi naunga mkono wanaume wanaowaachisha kaz za kuajiriwa wake zao na kuwafungulia biashara. Ndugu mwandishi utachagua ww km mume umuongoze au boss wake kazini ndio amuongoze.
Nacho kataa mimi ni kumuachisha kazi then anakuwa mama wa nyumbani ata biashara afanyi
 
Kwa Wanawake Wapo Kwenye Makundi Mawili tu (1) .Kwa Ajili ya Kujenga Familia Na Kuendeleza Kizazi.(2).Chombo Cha Starehe Visababisha Matatizo.Uko Kundi Gani mi Sijui.
Kujenga familia pamoja na nyumba yangu
Siwez msumbua mumewangu et kununua sufuria ama bakuli zikivunjika siwez msubir aje ndo nimpe mtoto dawa akiumwa nae binadamu anachangamoto pia atapitia lazima nimsapot
Na kizazi nitakiendeleza kuhus kundi utajua wewe uniweke wapi
 
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.

Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
We kinakuuma nini? muache mke wako akafanye kazi sio wake zetu, Ili pia kusiwe na upinzani auze sana akiwa peke yake, maadam mwenyewe ameelewa ameacha kazi wewe nini kinakuwasha washa? Wanawake zetu ni wafalme wanaume tunawajibika tunawatunza wapendeze tuwafaidi, sio tuwatoe juani wapauke kwa biashara gani? Kwa kazi gani?
 
Mtoto kumlea unamlea katika hali yoyote ile na atapata malezi bora wangapi tunaona wake wamefanya ni walezi wa watoto ila watoto wamekuwa mivuta bangi na mama zao wanawalea
Kwa nini usingesema milevi ya pombe?

Ukipanda gari ya dereva aliyelewa pombe vs gari ya dereva alievuta bangi afadhari ni yupi?
 
Hii Kauli Inatoka Karibu Na Ulimi Ukitokea kwa Ndani Wala haitoki Moyoni .
Kwanini?
Yani nisiwatunze kwann?
Nisiwapende kwanini?maybe wao wasiponipenda Sina huo moyo km naweza kuwapenda wasio ndugu zangu siwez shindwa kuwapenda wazazi wa mumewangu
 
Kujenga familia pamoja na nyumba yangu
Siwez msumbua mumewangu et kununua sufuria ama bakuli zikivunjika siwez msubir aje ndo nimpe mtoto dawa akiumwa nae binadamu anachangamoto pia atapitia lazima nimsapot
Na kizazi nitakiendeleza kuhus kundi utajua wewe uniweke wapi
Kwanza Naomba Kukuuliza Kwa Nia Njema Tu Umeolewa?Au Umewahi Kuishi Na Mwanaume Angalau Mwaka Mmoja?
 
Back
Top Bottom