Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Tuna maono na mitazamo tofauti. kiasi kila mtu abaki na misimamo yake.Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Nilicho kuja kugundua kua Maisha yanaitaji sacrifice...unajua wanawake kina mama huwa Wana foregone their dreams kwa ajir ya watoto wao na Kuna malengo huwezi pata/ timiza sababu ya kua mzazi / mlezi..Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Na ndio anakuwa anatumika kama muhudumu wa taifaSiku akifa ndiyo atajua.
Mwanamke atakachoweza ni kuolewa na mwanaume mwingine.
Muulizeni Nikifa MkeWangu Asiolewe
Maisha hayapo ivyo mkuu now maisha yame badirikaTuna maono na mitazamo tofauti. kiasi kila mtu abaki na misimamo yake.
Hivi Mke akiwa goli kipa shida ni yako au ya mume wake?
Kwamba mke wake ndio mzuri zaidi dunian kote hakuna? Ni upumbavu mwanamke akiamua kuchepuka anachepuka vizurWengine ni wivu tu,akiwaza alichowafanya Baltazary, anawaza kua na mkewe itakua ni hivyohivyo, ingawa ni ukweli kua UNATAKIWA USIWE NA WIVU,mfano mkeo labda ni nesi au askari,kuchapiwa ni kawaida sana.
Mtoto kumlea unamlea katika hali yoyote ile na atapata malezi bora wangapi tunaona wake wamefanya ni walezi wa watoto ila watoto wamekuwa mivuta bangi na mama zao wanawaleaNilicho kuja kugundua kua Maisha yanaitaji sacrifice...unajua wanawake kina mama huwa Wana foregone their dreams kwa ajir ya watoto wao na Kuna malengo huwezi pata/ timiza sababu ya kua mzazi / mlezi..
Tunapambana Sana kuwa watu tunao taka kua / Ila huwezi KUISHI double life....MWANAMKE MWENYE KAZI VS MALEZI YA WATOTO/ KUHUDUMIA FAMILIA.
NB.
Mke wangu simamia business zetu na malezi ya familia..swala la kufanya kazi sijui kuajiliwa hapana.
Unajifunza nini wewe wakati ni mambo ya kawaida tu? 😡😡😡Najifunza
Mke ni nguzo ya jamii, nyumbani Kuna majukumu muhimu ya mwanamke katika kuimarisha ustawi wa familia.Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Sawa ukamuachia mali akashindwa kuenedeleza inakuwaje?Mwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.
Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.
Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
Ila anatakiwa naye afanye kaziMke ni nguzo ya jamii, nyumbani Kuna majukumu muhimu ya mwanamke katika kuimarisha ustawi wa familia.
Ikiwa si lazima ya kufa na kupona basi mke achukue jukumu la nyumbani na meanaume atafute na akidhi mahitaji yote.
Hapa hakuna golikipa au mfunga magoli bali ni kuweka familia kwanza.
Mimi ni chalii sana ko wengi humu ni wanandoa, divorce marriage, single Faza na mama,Unajifunza nini wewe wakati ni mambo ya kawaida tu? 😡😡😡
Nadhani kama una biashara au miradi ni vyema ahusike katika kukuza ama kuendeleza, japo siyo vyote atapata kujua.....Ila anatakiwa naye afanye kazi
Maana yake hata kama angeajiriwa au kujiajiri asingefika po pote. Ndio maana kuteseka kwake baada ya kifo chako hakuhusiani kwa namna yoyote na wewe kumfanya goalkeeper.Sawa ukamuachia mali akashindwa kuenedeleza inakuwaje?
EngongaMnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Kuna jamaa namjua kabisa na alioa mke msomi na mzuri na mfanyakazi serikalini.Maisha hayapo ivyo mkuu now maisha yame badirika