Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Ni sahihi zoezi kama hilo linaendelea. Hata mimi nimefikiwa. Nadhani wanalifanya nchi nzima maana kuna mtu kanda ya ziwa ameniambia pia.Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Chukua kadi ya chama DUME kijana ngoja kina Lucas MWASHAMBWA watakuja kukupa faida za kua mwanachama wa CCMLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kuna ubaya gani kujua idadi ya wanachama wako katika kata,mtaa,kijiji nk?Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Huwa nyie jamaa mnaonaga kila mtu ni goigoi na kilaza.Keyboard warriors kwa kelele na kujitapa nyuma ya keyboard ni majasiri sana.
Ukweli ukidhihiri hata mlio wa burst ya tairi wanakimbilia chooni.
Bomu la machozi ndio hata usiseme.
Jambo la kawaida! Mimi mwenyewe niliwahi kushangazwa na mahali fulani walikuwa wanachukua sensa ya waroman catholic ila kumbe kwenye jamii hiyo ni kawaidaLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Orodhesha tu. Ila sema huna kadiLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Anikonekti mimi nipate kadi ya uanachama.Kuna ubaya gani kujua idadi ya wanachama wako katika kata,mtaa,kijiji nk?
CCM wapo makini sana kwa hili. Cdm wakishindwa watasema wameibiwa kumbe idadi yao hata 2 hawafiki kwenye kata
Muhimu. Kuwa nayo tu. Huna cha kupoteza.Anikonekti mimi nipate kadi ya uanachama.
Hata kwetu wanahaha sana vikao haviishi wangekuwa hiv Kwa ajili ya kutatua matatizo ya watu ningewapa big up! Lakini wako busy kuangalia nani, wa kambi gani, wa chama gani, ana nguvu gani tumdhoofishe vp. Tena wanaanzana wenyewe halafu wanageukia vyama vingine. Ukisikiliza mazungumzo yao na sura zao Wana roho mbaya halafu wanafiki utadhani wana upendo wa kweli. Siasa mpaka misibani. Haki ya Mungu kama kweli Mbinguni papo siwaoni wakigusa hata geti. Barabara za mitaani tangu mvua imeacha majanga hata hawana mpango mashimo yafukiwe vp nguzo za umeme ziokoleweje, aka wanajua mambo ya watu wa chadema kuliko ya watu wao.Hakuna kingine wanachofikiria zaidi ya uchaguzi.
CCM wapo radhi kufanya chochote kwenye uchaguzi ili waendelee kuongoza.
Na jitihada zote wanazozifanya ili kuendelea kuongoza si kwa kuwa wana mapenzi mema na Tanzania, la hasha, bali ni kwa sababu ya kunufaika kwao kwa kuwa madarakani.
Uongozi ni kinga dhidi ya maovu wanayoyafanya.
Kwan hawana orodha?Mjumbe wa nyumba kumi (kwingineko huitwa balozi) kimsingi hawa ni viongozi wa chama (ccm) hutokana na chama na hufanya shughuli za kichama kwahiyo hapo alikuwa kwenye majukumu yake ya kawaida kabisa na hakuna alichokosea
Ujinga huu unafanyika nchi nzima, lengo ni kurahisisha wizi wa kura. Samia ni mroho wa madaraka zaidi ya MagufuliLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Jifunze kuandika ukitaka uchukuliwe serious.Usumbusu ndio nini?Kilugha?We andazi kweli,wewe huoni kuwa ni usumbusu kwa wasiohusika na uccm ambao wametulia majumbani mwao
Siku hizi suala la mjumbe wa nyumba kumi kumi halipo tena hayo ni mambo ya Mafisiemu tuu, sijui lini wataacha upuuzi wa kuona wanatawala watu wote.Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Ungemwitia mwiziLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kawaida mkuu utaratibu wa chama wanahakiki wanachama sehemuhusika m niliwapa ushirikiano n rahisi tu unamjibusina. Na mm niko simba sc soo yanga simple wale usiwajibuuovyo wanamdawao utawatafuta kwa magotiii napitatu