Pre GE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Ni sahihi zoezi kama hilo linaendelea. Hata mimi nimefikiwa. Nadhani wanalifanya nchi nzima maana kuna mtu kanda ya ziwa ameniambia pia.
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Chukua kadi ya chama DUME kijana ngoja kina Lucas MWASHAMBWA watakuja kukupa faida za kua mwanachama wa CCM
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kuna ubaya gani kujua idadi ya wanachama wako katika kata,mtaa,kijiji nk?
CCM wapo makini sana kwa hili. Cdm wakishindwa watasema wameibiwa kumbe idadi yao hata 2 hawafiki kwenye kata
 
Keyboard warriors kwa kelele na kujitapa nyuma ya keyboard ni majasiri sana.
Ukweli ukidhihiri hata mlio wa burst ya tairi wanakimbilia chooni.
Bomu la machozi ndio hata usiseme.
Huwa nyie jamaa mnaonaga kila mtu ni goigoi na kilaza.
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Jambo la kawaida! Mimi mwenyewe niliwahi kushangazwa na mahali fulani walikuwa wanachukua sensa ya waroman catholic ila kumbe kwenye jamii hiyo ni kawaida
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Orodhesha tu. Ila sema huna kadi
Over.
Mambo madogo msitake yawe magumu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna ubaya gani kujua idadi ya wanachama wako katika kata,mtaa,kijiji nk?
CCM wapo makini sana kwa hili. Cdm wakishindwa watasema wameibiwa kumbe idadi yao hata 2 hawafiki kwenye kata
Anikonekti mimi nipate kadi ya uanachama.
 
Mjumbe wa nyumba kumi (kwingineko huitwa balozi) kimsingi hawa ni viongozi wa chama (ccm) hutokana na chama na hufanya shughuli za kichama kwahiyo hapo alikuwa kwenye majukumu yake ya kawaida kabisa na hakuna alichokosea
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huyo balozi ni wa ccm na anafanya majukumu yake ya kichama, endelea kumchukulia poa subiri siku ufikwe na jambo ndio utajua umuhimu wake.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hakuna kingine wanachofikiria zaidi ya uchaguzi.
CCM wapo radhi kufanya chochote kwenye uchaguzi ili waendelee kuongoza.
Na jitihada zote wanazozifanya ili kuendelea kuongoza si kwa kuwa wana mapenzi mema na Tanzania, la hasha, bali ni kwa sababu ya kunufaika kwao kwa kuwa madarakani.
Uongozi ni kinga dhidi ya maovu wanayoyafanya.
Hata kwetu wanahaha sana vikao haviishi wangekuwa hiv Kwa ajili ya kutatua matatizo ya watu ningewapa big up! Lakini wako busy kuangalia nani, wa kambi gani, wa chama gani, ana nguvu gani tumdhoofishe vp. Tena wanaanzana wenyewe halafu wanageukia vyama vingine. Ukisikiliza mazungumzo yao na sura zao Wana roho mbaya halafu wanafiki utadhani wana upendo wa kweli. Siasa mpaka misibani. Haki ya Mungu kama kweli Mbinguni papo siwaoni wakigusa hata geti. Barabara za mitaani tangu mvua imeacha majanga hata hawana mpango mashimo yafukiwe vp nguzo za umeme ziokoleweje, aka wanajua mambo ya watu wa chadema kuliko ya watu wao.
 
Mjumbe wa nyumba kumi (kwingineko huitwa balozi) kimsingi hawa ni viongozi wa chama (ccm) hutokana na chama na hufanya shughuli za kichama kwahiyo hapo alikuwa kwenye majukumu yake ya kawaida kabisa na hakuna alichokosea
Kwan hawana orodha?
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Ujinga huu unafanyika nchi nzima, lengo ni kurahisisha wizi wa kura. Samia ni mroho wa madaraka zaidi ya Magufuli
 
We andazi kweli,wewe huoni kuwa ni usumbusu kwa wasiohusika na uccm ambao wametulia majumbani mwao
Jifunze kuandika ukitaka uchukuliwe serious.Usumbusu ndio nini?Kilugha?
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Siku hizi suala la mjumbe wa nyumba kumi kumi halipo tena hayo ni mambo ya Mafisiemu tuu, sijui lini wataacha upuuzi wa kuona wanatawala watu wote.
 
Kuna elimu kubwa inahitaji kutolewa. Kiongozi wa ngazi ya mwisho wa serikali ni mwenyekiti wa kitongoji au mtaa. Mjumbe wa nyumba kumi kumi ni kiongozi wa CCM. Mimi nilivavurumisha kwangu siwataki kabisa. Mimi ni Mtanzania nisiye mwanasiasa.
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Ungemwitia mwizi
 
Haiwezekani chama hakina jeresta ya wanachama wake kwenye eneo mpaka wabahatishe bahatishe
Kawaida mkuu utaratibu wa chama wanahakiki wanachama sehemuhusika m niliwapa ushirikiano n rahisi tu unamjibusina. Na mm niko simba sc soo yanga simple wale usiwajibuuovyo wanamdawao utawatafuta kwa magotiii napitatu
 
Back
Top Bottom