Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hata ukiorodhesha hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumpigia kura jizi na tapeli kisa ni wa chama chake, hakuna huo ujinga sasa hivi, mitaani tunachaguwa watu hatuchagui vyama.Sioni tabu,.chama kuorodhesha wanachama wake
Nimegundua ccm haihitajiki tenaKwa comments chache hapa unagundua watu mna hasira na visilani visivyo na msingi, labda ndio matatizo ya afya ya akili.
Kazi zao kwenye miji ya watu.toa ujinga hapa.Yaani unataka uwapangie wanavyofanya kazi zao?
Kama zoezi halikuhusu kaa kimya.
Ungempiga hadi umuue kisha useme ulijua ni mwizi amekuja kusoma ramani, kwa maelezo kuwa anayetaka mambo ya ccm ataenda kwenye ofisi zao na sio majumbani maana huu sio muda wa kampeni.Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Ndio maana nasemega wewe akili yako ni ndogo sana.Ungempiga hadi umuue kisha useme ulijua ni mwizi amekuja kusoma ramani, kwa maelezo kuwa anayetaka mambo ya ccm ataenda kwenye ofisi zao na sio majumbani maana huu sio muda wa kampeni.
Cc: Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Ni kweli kabisa, akili kubwa ni kuwaacha wanaccm washurutishe watu kuunga mkononi chama chao Cha majizi.Ndio maana nasemega wewe akili yako ni ndogo sana.
Siku ukiwa mfanyabiashara utaelewa vizuri haya mambo.Ila Chadema bhana π sasa hapo tatizo liko wapi c ungesema tuu huhitaji kadi ya ccm
Mbona ukienda ofisi za mtaa/kijiji wakati mwingine wanataka utambulisho wa mjumbe wa nyumba kumi/balozi??Mjumbe wa nyumba kumi (kwingineko huitwa balozi) kimsingi hawa ni viongozi wa chama (ccm) hutokana na chama na hufanya shughuli za kichama kwahiyo hapo alikuwa kwenye majukumu yake ya kawaida kabisa na hakuna alichokosea
nakuombea kwa Mungu fikra, utashi, na akili yako visiharibike zaid ya hapo ulipofikia πUngempiga hadi umuue kisha useme ulijua ni mwizi amekuja kusoma ramani, kwa maelezo kuwa anayetaka mambo ya ccm ataenda kwenye ofisi zao na sio majumbani maana huu sio muda wa kampeni.
Cc: Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Tatizo nyie Chadema mnatokwa na mishipa ya kichwa kwenye mambo ya ccm badala ya kutumia akili ya kawaida tuu, mbona simple tuu unajibu sihitaji kad ya ccmSiku ukiwa mfanyabiashara utaelewa vizuri haya mambo.
Kama huamini njoo maeneo ya ubungo external kisha uniletee huo utopolo kama hujafurahia show.nakuombea kwa Mungu fikra, utashi, na akili yako visiharibike zaid ya hapo ulipofikia π
mambo ya CCM yanafanyika kwa watu wenye umri kuanzia miaka18 na kuendelea na wenye akili timamu pekee πKama huamini njoo maeneo ya ubungo external kisha uniletee huo utopolo kama hujafurahia show.
Tusingeona ikitegemea wizi kubaki madarakani kwa shuruti.mambo ya CCM yanafanyika kwa watu wenye umri kuanzia miaka18 na kuendelea na wenye akili timamu pekee π
Ni kweli na ndio maana viongozi wenu wanawa.... maana mmekua over 18mambo ya CCM yanafanyika kwa watu wenye umri kuanzia miaka18 na kuendelea na wenye akili timamu pekee π
wenye akili timamu hawana mihemko, hawaziri, hawasusii uchaguzi wala kugomea chaguzi hata kidogo πTusingeona ikitegemea wizi kubaki madarakani kwa shuruti.
Hayo yanawekana kwa ajili finyu ya mafisiemuLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Hii imekaa sawaUongozi ni kinga dhidi ya maovu wanayoyafanya.
Yaani mwanaume anayerusha mkojo mbali, aendelee kushiriki chaguzi za kishenzi zaidi ya miaka 30 bila mabadiliko na aendelee kushiriki tu huo utopolo?! Hakunaga ujinga wa hivyo.wenye akili timamu hawana mihemko, hawaziri, hawasusii uchaguzi wala kugomea chaguzi hata kidogo π
mtu akiwa na mihemko na ghadhabu si unamshinda tu kwa kila kitu π