Pre GE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

Pre GE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sioni tabu,.chama kuorodhesha wanachama wake
Hata ukiorodhesha hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumpigia kura jizi na tapeli kisa ni wa chama chake, hakuna huo ujinga sasa hivi, mitaani tunachaguwa watu hatuchagui vyama.
 
Kuwafwata majumbani nikuleta kero kwa watu wengine ambao hawahusiki.Hapo wanaandaa goli la mkono alafu baada ya uchaguzi utasikia wanajitamba kua wameshinda kwa kishindo.kumbe ujinga mtupu.
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Ungempiga hadi umuue kisha useme ulijua ni mwizi amekuja kusoma ramani, kwa maelezo kuwa anayetaka mambo ya ccm ataenda kwenye ofisi zao na sio majumbani maana huu sio muda wa kampeni.

Cc: Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
 
Mjumbe wa nyumba kumi (kwingineko huitwa balozi) kimsingi hawa ni viongozi wa chama (ccm) hutokana na chama na hufanya shughuli za kichama kwahiyo hapo alikuwa kwenye majukumu yake ya kawaida kabisa na hakuna alichokosea
Mbona ukienda ofisi za mtaa/kijiji wakati mwingine wanataka utambulisho wa mjumbe wa nyumba kumi/balozi??
 
Ungempiga hadi umuue kisha useme ulijua ni mwizi amekuja kusoma ramani, kwa maelezo kuwa anayetaka mambo ya ccm ataenda kwenye ofisi zao na sio majumbani maana huu sio muda wa kampeni.

Cc: Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
nakuombea kwa Mungu fikra, utashi, na akili yako visiharibike zaid ya hapo ulipofikia 🐒
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Siku ukiwa mfanyabiashara utaelewa vizuri haya mambo.
Tatizo nyie Chadema mnatokwa na mishipa ya kichwa kwenye mambo ya ccm badala ya kutumia akili ya kawaida tuu, mbona simple tuu unajibu sihitaji kad ya ccm
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
nakuombea kwa Mungu fikra, utashi, na akili yako visiharibike zaid ya hapo ulipofikia 🐒
Kama huamini njoo maeneo ya ubungo external kisha uniletee huo utopolo kama hujafurahia show.
 
Kama huamini njoo maeneo ya ubungo external kisha uniletee huo utopolo kama hujafurahia show.
mambo ya CCM yanafanyika kwa watu wenye umri kuanzia miaka18 na kuendelea na wenye akili timamu pekee 🐒
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
CCM wana mentality za Simba na Yanga, wao wanataka kuwa Washindi tuu kwa mbinu zozote hata kama litimu ni bovu potelea mbali.
Sasa ukiwaulza ok mnataka mshinde 2025 ili muisaidie nini Tanzania 🇹🇿 hawana jibu maana wapo hapo 60 years na hawajielewi.
Bahati yao ni kuwa kile kizazi cha kina Capt Kadego, Capt McGhee, Lt Maganga, Capt Kamado, Col Msami nk hakipo tena maana wameenda kuzaliwa Burkina Faso na Guinea sisi wakazaliwa kina Mwijaku nk.
 
mambo ya CCM yanafanyika kwa watu wenye umri kuanzia miaka18 na kuendelea na wenye akili timamu pekee 🐒
Ni kweli na ndio maana viongozi wenu wanawa.... maana mmekua over 18
 
Attachments

  • 20240611_075312.jpg
    20240611_075312.jpg
    149.8 KB · Views: 4
Tusingeona ikitegemea wizi kubaki madarakani kwa shuruti.
wenye akili timamu hawana mihemko, hawaziri, hawasusii uchaguzi wala kugomea chaguzi hata kidogo 🐒

mtu akiwa na mihemko na ghadhabu si unamshinda tu kwa kila kitu 🐒
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Hayo yanawekana kwa ajili finyu ya mafisiemu
 
wenye akili timamu hawana mihemko, hawaziri, hawasusii uchaguzi wala kugomea chaguzi hata kidogo 🐒

mtu akiwa na mihemko na ghadhabu si unamshinda tu kwa kila kitu 🐒
Yaani mwanaume anayerusha mkojo mbali, aendelee kushiriki chaguzi za kishenzi zaidi ya miaka 30 bila mabadiliko na aendelee kushiriki tu huo utopolo?! Hakunaga ujinga wa hivyo.

Utamshinda nani wakati huna uwezo wa kushindana zaidi ya kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola? Ni hivi, hakuna mwanaume anayesimamisha vizuri ataendelea kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi eti kwa kusaka sifa ya kuwa hasusi wala kuzira. Kwa taarifa yako hatuziri wala kususa, bali tumeupuuza huo ushenzi uitwao uchaguzi.
 
Back
Top Bottom