Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.

Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.

Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna mjadala cha kwanza mwanamke ndio abadili imani aje kwako au wewe ubadili imani umfuate mwanamke.

Unaweza usinielewe kwa upofu wa mapenzi utasema mtafunga ndoa bomani, bomu unalolitengeneza ni zaidi ya atomic.

Wazungu ni watu waliostaarabika siku nyingi hizi dini kwao walishagunduwa ni utapeli tu hawana shida, lakini kwa Africa dini zina nafasi kubwa sana.

Ukitaka kujua ulevi wa dini angalia Tanzania na ulaya, huwezi kukuta ulaya upuuzi wa viongozi wa dini kupewa kipaumbele kwenye shughuri za serikali.

Mwenye masikio na asikie, ukiona huwezi kwenda kwenye imani ya mwenza wako vunja hayo mahusiano mapema utaumia lakini utapoa maisha yataendelea na utapata mwingine.
 
Mbunye haina dini. Jitafakari, we si ndo daktari uliyekuimba bahati bukuku kwenye dunia haina huruma?
Sijaandika thread ya joke, hili siyo jukwaa la jokes.

My first born anamalizia degree ya pili, my second born yuko high school wote wanaume, tunatowa ushauri serious humu, siku hizi hakuna jando na unyago.

Asiyelielewa hili atakuja kujifunza kwa njia ngumu sana.
 
Sijaandija thread ya joke, hili siyo jukwaa la jokes.

My first born anamalizia degree ya pili, my second born yuko high school wote wanaume, tunatowa ushauri serious humu, siku hizi hakuna jando na unyago.

Asiyelielewa hili atakuja kujifunza kwa njia ngumu sana.
Umri sio tija, hata wapumbavu huzeeka, na huzaa pia. Usitumie dini kama kigezo cha kuwa kwenye mahusiano.

Hii imepitwa na wakati. Kuhusu watoto wako hainihusu sanaaaa. Hata Mimi ninao tena wakubwa kama wewe.
 
Mi siwezi acha kumpenda mtu kisa dini, nitampenda yeye na hiyo dini yake......
Kuna mahusiano na kuna option ya kufunga ndoa.

Mkiwa kwenye option ya kufunga ndoa either wewe ubadili dini au mwanaume aje kwenye dini yako.

Wengi mtanipinga lakini huu ndio ukweli, hakuna mwenye uwezo wa kushindana na ukweli.

Kuna watu wameowana ni Wakristo wote lakini utofauti wa madhehebu unaleta shida, ndio sembuse mwislamu na Mkristo?
 
Umri sio tija, hata wapumbavu huzeeka, na huzaa pia. Usitumie dini kama kigezo cha kuwa kwenye mahusiano.

Hii imepitwa na wakati. Kuhusu watoto wako hainihusu sanaaaa. Hata Mimi ninao tena wakubwa kama wewe.
Ni kweli, mnaweza pendana vizuri tu....

Lakini tofauti za dini lazima zitafanya mkwazane

Waislamu na wakristo wa tz walivyo wanafki sasa, wanachekeana ila kila mmoja anaona mwenzake ni wa motoni
 
Back
Top Bottom