Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Shida inakua ni nini hasa??
Mi mkristu, mme muislamu, watoto wangu swala 5 mwezi wa ramadhani nawapikia futari ya maana.
Sijawahi kuiona shida ya dini kati yetu....mambo mengine ni tofauti za kiubinadamu hazina udini.

Ndo maana bado sijakuelewa
Inafanya kazi kwa wachache sana, wewe ni bahati yako mshukuru sana Mungu.

Hakuna ndoa kati ya kafir na muislamu, mwenye masikio na asikie.
 
Mi siwezi acha kumpenda mtu kisa dini, nitampenda yeye na hiyo dini yake......
Kwan certificate yako ya kupenda bado iko valid?

Kuna watu hata wakipenda upendo wao hauna maana kama vile wanaume masikini, wanawake single mothers au walioenda age sana, nk nk, coz hao wote certificates zao za kupenda zishakua invalid
 
Dokta ingekuwa vizuri ukajenga hoja sii tu kulazimisha kila mtu akubali mtazamo wako.

Njoo na hoja zako ni athari gani mtu atapata anapoingia kwenye ndoa na mtu wa imani tofauti ikiwezekana na mifano hai.
Mimi sijalazimisha chochote, nimeshare tu life experince.

Naheshimu sana imani za wengine ukitaka nikutosheleze kwa hoja nitawakwaza wengine sipendi hilo.

Ngoja niwaitie bibi yenu labda mtamuelewa vizuri.
Cc: FaizaFoxy
 
Watu wajinga kabisa kwenye hizo dini ni wasabatho na Muslims,kuna family moja ya kisabatho ina wanaume 3 wote walioa wanawake wasio wasabatho ni wakatoliki-wake zao hao walibadili dini na kuwa wasabatho.

Maajabu ni kuwa wanawan'gan'gania binti zao waolewe na wasabatho wenzao ilihali wachumba wanao kuja ni Wakatoliki.Mabinti nao akili zao 2 wanaacha kuolewa eti kisa Baba hataki wakatoliki.

Wengi wa Wasabatho na Muslims waliopo Tanzania ni zaidi ya matatizo,wamekazana na hizo dini za kuletewa utadhani wao ni bora kuliko waliozianzisha.
 
Back
Top Bottom