Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.

Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.

Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna mjadala cha kwanza mwanamke ndio abadili imani aje kwako au wewe ubadili imani umfuate mwanamke.

Unaweza usinielewe kwa upofu wa mapenzi utasema mtafunga ndoa bomani, bomu unalolitengeneza ni zaidi ya atomic.

Wazungu ni watu waliostaarabika siku nyingi hizi dini kwao walishagunduwa ni utapeli tu hawana shida, lakini kwa Africa ambako bado tupo kwenye mchakato wa kutoka unyani ili kuwa binadamu kamili dini zina nafasi kubwa sana.

Ukitaka kujuwa ulevi wa dini angalia Tanzania na ulaya, huwezi kukuta ulaya upuuzi wa viongozi wa dini kupewa kipaumbele kwenye shughuri za serikali.

Mwenye masikio na asikie, ukiona huwezi kwenda kwenye imani ya mwenza wako vunja hayo mahusiano mapema utaumia lakini utapowa maisha yataendelea na utapata mwingine.

You are not right at all,, ni vema kuwa shauri watu kuondokana na utumwa huu wa fikra, watu tumeletewa dini Africa ambazo zimefanya watu tusahsu asili zetu, watu tumesahau kuwa sisi sote ni waafrika lakin dini zinaleta utengano na wewe pia una support watu watengane kwani hao watu unao washauri watengane wao ni watu gani ni waarabu? Au ni wazungu? Kwahiyo sisi waafrika tumekuwa na utengano how we can say we are the one?!!
 
Option ni moja tu, abadili imani yake afuate yangu. Ikishindikana hiyo na mahusiano yanakufa. Imani mbili tofauti zinajenga ndoa mbovu kabisa inayokosa misingi imara kwa malezi ya watoto.

Wanaosema dini sio kigezo warudi nyuma wafikirie upya.
 
U
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.

Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.

Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna mjadala cha kwanza mwanamke ndio abadili imani aje kwako au wewe ubadili imani umfuate mwanamke.

Unaweza usinielewe kwa upofu wa mapenzi utasema mtafunga ndoa bomani, bomu unalolitengeneza ni zaidi ya atomic.

Wazungu ni watu waliostaarabika siku nyingi hizi dini kwao walishagunduwa ni utapeli tu hawana shida, lakini kwa Africa ambako bado tupo kwenye mchakato wa kutoka unyani ili kuwa binadamu kamili dini zina nafasi kubwa sana.

Ukitaka kujuwa ulevi wa dini angalia Tanzania na ulaya, huwezi kukuta ulaya upuuzi wa viongozi wa dini kupewa kipaumbele kwenye shughuri za serikali.

Mwenye masikio na asikie, ukiona huwezi kwenda kwenye imani ya mwenza wako vunja hayo mahusiano mapema utaumia lakini utapowa maisha yataendelea na utapata mwingine.
Ushasema dini Haina maana hapo hapo unatushauri tuchague upande mbonan ueleweki babu
 
📌💯
 
Kwangu dini haina maana yoyote ni takataka tu, lakini naelewa vizuri influence ya dini kwa jamii yetu ndio maana hata serikali imezikumbatia ili iweze kutawala kwa urahisi.

Kwahiyo option iko very clear kabisa hamia dini ya mwanamke au mwanamke aje dini yako.

Haya maandishi yanaishi ipo siku mia ka mingi ijayo atayasoma na kugunduwa kumbe kuna watu wako mbele ya muda.
 
Kiongozi mkuu wa Anglican church ni nani? (Toka uingereza)
Trump- wafuasi wake wengi wanaompa nguvu ni watu wa aina gani?
Chama kilichotawala muda mrefu Ujerumani (CDU) ni chama chenye wafuasi wengi toka maeneo gani. Na mlengo wake upoje?
Urusi na kanisa la Orthodox, uhusiano upoje?
Ukraine na kanisa la Orthodox , uhusiano wake upoje?

Ulaya ndio mfano wetu mkubwa, Pengine bado hatujawaelewa wenzetu. Tutafakari zaidi......
 
Hoja yako ni nini?
 
Mgosi vipi kwa Mimi ambae ni mlutheri na mchumba akawa mkatoliki?
Hilo linazungumzika, hata mkeo akitaka kubatiza watoto kanisani kwao hakuna tatizo.

Lutheran, Anglican, Roman, Orthodox, Coptic na Moravian haya yote ni kanisa katoliki.

RC = Roman Catholic ni kanisa katolic la Magharibi.

Coptic na Orthodox ni kanisa katoliki la mashariki.

Anglican ni kanisa la Uingereza.

Historia yake ni ndefu ila elewa hivyo hayo yote ni kanisa moja.
 
Kwangu dini haina maana yoyote ni takataka tu, lakini naelewa vizuri influence ya dini kwa jamii yetu ndio maana hata serikali imezikumbatia ili iweze kutawala kwa urahisi.

Kwahiyo option iko very clear kabisa hamia dini ya mwanamke au mwanamke aje dini yako.

Haya maandishi yanaishi ipo siku mia ka mingi ijayo atayasoma na kugunduwa kumbe kuna watu wako mbele ya muda.
Hapo juu umesema una watoto tena mmoja anamalizia masters je .. akija kutoa taarifa kwenye familia ana mchumba dini ni tofauti italichukuliaje hilo ?!

Kumbuka umesema dini haina maana...
 
Watu wajinga kabisa kwenye hizo dini ni wasabatho na Muslims,kuna family moja ya kisabatho ina wanaume 3 wote walioa wanawake wasio wasabatho ni wakatoliki-wake zao hao walibadili dini na kuwa wasabatho.

Maajabu ni kuwa wanawan'gan'gania binti zao waolewe na wasabatho wenzao ilihali wachumba wanao kuja ni Wakatoliki.Mabinti nao akili zao 2 wanaacha kuolewa eti kisa Baba hataki wakatoliki.

Wengi wa Wasabatho na Muslims waliopo Tanzania ni zaidi ya matatizo,wamekazana na hizo dini za kuletewa utadhani wao ni bora kuliko waliozianzisha.

2 Kor 6:14-18 SUV​

Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
hayo ndo maelekezo ya biblia
usabato ndo dini ya kweli, hutaki acha
maisha ya kuishi tu bila maadili na miiko yoyote ni ujuha
hata hao wakatolik ukienda kufunga ndoa kwao na mkatolik lazima wakusilimishe
mwehu tu ndo anaweza kupinga ukweli
 
Back
Top Bottom