Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Nami nashauri watu wakitaka kuoana na ndoa iwe na manufaa kwao na kwa jamii basi yako mambo ya msingi ya kuzingatia likiwemo suala ya Dini/Imani.
Nashauri hivyo kwa sababu hili linagusa roho, moyo na nafsi na ndiko huku Upendo unapotokea. Sasa ukimpenda mtu wa dini tofauti na ukaishi naye basi hapo penzi lina nguvu kuliko imani sasa nguvu hiyo inaweza kuwa ya kudumu au ya muda hii itatokana na sababu mbali mbali moja wapo ikiwa ni uwekezaji finyu katika imani na misingi mibovu. Ni afadhali upendo uwe na nguvu ya kudumu kushinda imani hapo ndoa itakaa lakini madhara yake yatabaki palepale ila yatahamia kwa watoto na vizazi vijavyo.
Wanandoa wakiwa kwenye dini moja na kuifata dini hiyo kikamilifu kuna faida kubwa kuliko wanandoa wa dini tofauti.
 
Hauna hoja wala ushawishi , kifupi uelewa mdogo sana .

wapi nimekataa kwa sio church of England? Hiyo Phd ya kuhongwa nan alikupa? wakati uonaokena hata kujenga hoja huwezi .
NImkuambia kiongozi anaapa kulinda kanisa la Anglican lilopo ndani ya UK kupitia England, kuishi England wakati hauna exposure zero kabisa. πŸ˜› πŸ˜›

Phd za kupewa hata kuandika tatizo , ulienda kusomea ujinga?

kiufupi hujielewi endelea kumuogopa Mange KImambi na uchawa wako wa kitoto.
 
Wewe ni mjinga, huna akili kichwani, kuitwa church of England haina maana siyo church of Scotland, wales na Northen Ireland.

You're listening too slowly
 
niliko olea baba muislam mama mkristo na wanaishi vizuri watoto wamepewa uhuru wa kuchagua!!
inategemea ww unaichukulia vipi hizi dini
 
Wewe ni mjinga, huna akili kichwani, kuitwa church of England haina maana siyo church of Scotland, wales na Northen Ireland.

You're listening too slowly
Sasa hoja yako iko wapi? Huko ulipoenda wanatambua dini , wewe chawa wa Mange utawafanya nn? πŸ˜› πŸ˜›

Kama hautaki dini nenda kweny nchi zenye wapumbavu wenzio.!
 
niliko olea baba muislam mama mkristo na wanaishi vizuri watoto wamepewa uhuru wa kuchagua!!
inategemea ww unaichukulia vipi hizi dini
Mimi hizi dini zote nazichukulia kama utapeli tu.

Lakini kwa hizi primitive society tunazotoka na level of understanding swala la dini ni muhimu sana kwa watu wanaotaka kufunga mkataba wa kuishi pamoja na kujenga familia.
 
Sasa hoja yako iko wapi? Huko ulipoenda wanatambua dini , wewe chawa wa Mange utawafanya nn? πŸ˜› πŸ˜›

Kama hautaki dini nenda kweny nchi zenye wapumbavu wenzio.!
Ndio maana nikasema huna akili kichwani.

Ningekuwa sitambuwi dini na influence ya dini ningewashauri watu waowane wa imani moja au mmoja afuate imani ya mwenzake?

Umeamka na wenge?
 
Mimi hizi dini zote nazichukulia kama utapeli tu.

Lakini kwa hizi primitive society tunazotoka na level of understanding swala la dini ni muhimu sana kwa watu wanaotaka kufunga mkataba wa kuishi pamoja na kujenga familia.
ni ww sasa na baadhi ya familia kuna watu wako huria ww kuwa unachotaka
 
Ndio maana nikasema huna akili kichwani.

Ningekuwa sitambuwi dini na influence ya dini ningewashauri watu waowane wa imani moja au mmoja afuate imani ya mwenzake?

Umeamka na wenge?
Mara sijui serikali inaingiliana na mambo dini ,kiufupi hujielewi na Phd ya mchongo πŸ˜› πŸ˜›
 
Be blessed, nimependa sana natamani wanawake wote tuwe na usafi wa akili
 
Mbona ulianza vizuri na hoja nzuri nzuri, hii mitusi ndiyo nini sasa
Huyo hiyo ndio lugha anayoweza kuielewa vizuri.

Mtu yeyote atakavyokuja ndivyo atakavyojibiwa.

Nina heshima kwa mtu anayejiheshimu mwenyewe na nina shit kwa mtu anayejitowa akili.
 
Option ni moja tu, abadili imani yake afuate yangu. Ikishindikana hiyo na mahusiano yanakufa. Imani mbili tofauti zinajenga ndoa mbovu kabisa inayokosa misingi imara kwa malezi ya watoto.

Wanaosema dini sio kigezo warudi nyuma wafikirie upya.
Big up!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…