Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Sasa umeandika nn ?Au kokosa uelewa, England ni sehemu ya UK 😀 😀 . Kiongozi mkubwa yaani malkia au mfalme ndio anaongoza UK nzima ikiwa England ndani yake.

Phd anaandika ''ndiwo'' 😳wewe ni kilaza!

Vyeti fake ndio tatizo.
Nimeishi Uingereza huna cha kunielimisha katika hilo.

Naelewa vizuri maana ya United kingdom na Great Britain.

Nazijuwa vizuri England, Wales, Scotland na Northen Ireland.

Hoja ilikuwa church of England ni Anglican na siyo Roman catholic.

Kuna vitu kama hujui omba kuelimishwa na siyo kuleta ujuwaji.

Anglican church linajulikana kwa jina la church of England, ni sawa ukisema Vatican mtu anajuwa unaongelea Roman Catholic.

You are a Fool.
 
Hilo linazungumzika, hata mkeo akitaka kubatiza watoto kanisani kwao hakuna tatizo.

Lutheran, Anglican, Roman, Orthodox, Coptic na Moravian haya yote ni kanisa katoliki.

RC = Roman Catholic ni kanisa katolic la Magharibi.

Coptic na Orthodox ni kanisa katoliki la mashariki.

Anglican ni kanisa la Uingereza.

Historia yake ni ndefu ila elewa hivyo hayo yote ni kanisa moja.
Nimekuelewa Dr hata na hvo mm sio mtu wa haya mambo Sana ni vle tu nashiriki nsiwe nimejitenga Sana na jamii
 
Sijaandika thread ya joke, hili siyo jukwaa la jokes.

My first born anamalizia degree ya pili, my second born yuko high school wote wanaume, tunatowa ushauri serious humu, siku hizi hakuna jando na unyago.

Asiyelielewa hili atakuja kujifunza kwa njia ngumu sana.
[emoji1474]
OA MWANAMKE WA DINI/DHEHEBU LAKO EE MWANAUME
Oa mwanamke ambaye amekubali kuja upande wako kamwe usiende upande wa mwanamke( kumfuata mwanamke ni kuuza uzao wako wa kwanza kiroho utaijutia hiyo ndoa)...!!
Wengi wanaongea tu wanajua Ndoa ni kuifurahisha miili yao tu kuna zaid ya hilo kuna maisha ya watoto kumwil na kiiman pia kuna mising ya kiroho ya familia....!! Familia ikiyoshikana kiroho ndio familia ambayo inanafasi kubwa kufanikiwa kwa kila jambo walifanyalo kuanzia malez ya watoto mpaka uchumi...!!
Ni hayo kwa leo......!!! " KAMA HAUWASHWI UJUE HUNA UKUCHA WA KUKUNIA""
 
Huo nauita utoto au kutojitambua. Mimi nimeoa Catholic. Nimetokea kwenye jamii ya uislamu japo sikuwa muumini sana wa dini kwetu hamna sala tano. I care less about religion japo nina imani na hofu ya uwepo wa Mungu.

Ningesema niweke mgogoro I would have lost the most accurate woman of my life. Kutafta mwanamke wa hivyo ingenichukua muda mrefu sana sababu nilimu mold awe navyotaka mimi. It took a couple of years.

Kiufupi mimi uhusiano ndio kitu cha msingi kuliko hata imani zetu za kidini.
Kwahiyo ndoa yako ni ya DC au katoliki au imeishia mahari?
 
Natoa mchango kupitia experience yangu binafsi (ndoa ya DC, watoto dini ya baba, Muslims)

Shida kubwa ya hii ndoa ni watu wanaowazunguka (binafsi baba mkwe wangu na robo tatu ya ndugu zake hawakushiriki chochote kilichofuata baada ya mahari, send off hakuja wala harusi hakuja, ingawa harusi ilikua ndogo tu wageni hawakufika 150)

Kilichosaidia mimi binafsi nilikubali watoto wafate kwa baba ila mimi nisiguswe kwa chochote, siwezi kuwa (Muslim, msabato wala mkatoliki)

Nilichojifunza, Muslims wana inferiority complex sana hata awe na shule, mwenzangu kabla ya ndoa nilikua naona kabisa yupo radhi tufanye sogea tukae kuliko kufunga kwa DC na sio kuachana,
Ila mimi niliweka msimamo either kwa DC au kila mtu apambane na hali yake.

Kwetu niliwekwa vikao sababu ukoo mzima hakuna ndoa ya DC, kuna ndoa za kikristo na chache za kiisilamu(less than 3) ambazo ndugu zangu wamebadili, nilikua tu muwazi sitoweza na kama hawapo tayari kuniaga kwa send off basi ntaolewa tu kwa DC bila sherehe muhimu mahari wamechukua

Kilichotubea sisi hatujakutana ukubwani sana, tumekutana umri ambao tushajitambua potential ya kila mmoja na tushaona namna gani tunaweza kubuild empire pamoja, so hasara za kuachana zilikua kubwa kuliko za kuendelea

Binafsi sijutii maamuzi yangu, mwenzangu siwezi kuusemea moyo, ila kama anajuta itakua ni roho ya kibinafsi sababu kiimani mimi ndo nimepoteza sana kuliko yeye

mtihani mkubwa ni kwamba, watoto wanavyozidi kukua wanakua attracted more to christianity sijui kwanini ila imetokea tu sababu huwa nawaona especially mkubwa kwasababu nikiwa nakula live sermons youtube anavutiwa sana na anapenda kuuliza maswali

KEY POINT YA MSINGI: SISI HATUKUWEKA WAZI KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUTOFUNGA NDOA YA KIISILAMU KABLA YA MAHARI, MPAKA MILA ZINAFANYIKA KILA MTU ALIASSUME NTABADILI DINI (NA KUNA NDUGU ZANGU WALIUMIA SANA SABABU KIUKWELI KWETU MUSLIMS HAWAPENDWI ILA HAKUNA MCHUMBA WA HIYO DINI ALOWEKEWA NGUMU KUOA KAMA BINTI AMEKUBALI)

Kijana kama haujaingia kwenye huu mtego hakikisha wote mna akili timamu, mkubaliane watoto wanamfata nani otherwise VITA NI KUBWA ITAWASHINDA, MTAPOTEZEANA MUDA NA MBAYA ZAIDI WATOTO WATAHANGAIKA
 
Nakubaliana nawe Mkuu mi nina mtu wangu karibu naye ameyafanya haya yaani kwa sasa watoto wamekuwa wanatanga tanga tu kiimani.

Mwanzo mwanzo mke alisema kabadilisha dini ila kadiri siku zinavyokwenda anarudi kwenye imani yake.

Naungana nawe ikibidi kuoana imani zifanane ili kuepuka kuhangaisha watoto.
Wanaojiita "wakisasa " hawawezi kukubaliana na wewe
 
Natoa mchango kupitia experience yangu binafsi (ndoa ya DC, watoto dini ya baba, Muslims)

Shida kubwa ya hii ndoa ni watu wanaowazunguka (binafsi baba mkwe wangu na robo tatu ya ndugu zake hawakushiriki chochote kilichofuata baada ya mahari, send off hakuja wala harusi hakuja, ingawa harusi ilikua ndogo tu wageni hawakufika 150)

Kilichosaidia mimi binafsi nilikubali watoto wafate kwa baba ila mimi nisiguswe kwa chochote, siwezi kuwa (Muslim, msabato wala mkatoliki)

Nilichojifunza, Muslims wana inferiority complex sana hata awe na shule, mwenzangu kabla ya ndoa nilikua naona kabisa yupo radhi tufanye sogea tukae kuliko kufunga kwa DC na sio kuachana,
Ila mimi niliweka msimamo either kwa DC au kila mtu apambane na hali yake.

Kwetu niliwekwa vikao sababu ukoo mzima hakuna ndoa ya DC, kuna ndoa za kikristo na chache za kiisilamu(less than 3) ambazo ndugu zangu wamebadili, nilikua tu muwazi sitoweza na kama hawapo tayari kuniaga kwa send off basi ntaolewa tu kwa DC bila sherehe muhimu mahari wamechukua

Kilichotubea sisi hatujakutana ukubwani sana, tumekutana umri ambao tushajitambua potential ya kila mmoja na tushaona namna gani tunaweza kubuild empire pamoja, so hasara za kuachana zilikua kubwa kuliko za kuendelea

Binafsi sijutii maamuvi yangu, mwenzangu siwezi kuusemea moyo, ila kama anajuta itakua ni roho ya kibinafsi sababu kiimani mimi ndo nimepoteza sana kuliko yeye

mtihani mkubwa ni kwamba, watoto wanavyozidi kukua wanakua attracted more to christianity sijui kwanini ila imetokea tu sababu huwa nawaona especially mkubwa kwa wenzie nikiwa nakula live sermons youtube anavutiwa sana na anapenda kuuliza maswali

KEY POINT YA MSINGI: SISI HATUKUWEKA WAZI KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUTOFUNGA NDOA YA KIISILAMU KABLA YA MAHARI, MPAKA MILA ZINAFANYIKA KILA MTU ALIASSUME NTABADILI DINI (NA KUNA NDUGU ZANGU WALIUMIA SANA SABABU KIUKWELI KWETU MUSLIMS HAWAPENDWI ILA HAKUNA MCHUMBA WA HIYO DINI ALOWEKEWA NGUMU KUOA KAMA BINTI AMEKUBALI)

Kijana kama haujaingia kwenye huu mtego hakikisha wote mna akili timamu, mkubaliane watoto wanamfata nani otherwise VITA NI KUBWA ITAWASHINDA, MTAPOTEZEANA MUDA NA MBAYA ZAIDI WATOTO WATAHANGAIKA
Hapa nakubaliana na wewe na hongera kwa kuvumilia .
 
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.

Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.

Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna mjadala cha kwanza mwanamke ndio abadili imani aje kwako au wewe ubadili imani umfuate mwanamke.

Unaweza usinielewe kwa upofu wa mapenzi utasema mtafunga ndoa bomani, bomu unalolitengeneza ni zaidi ya atomic.

Wazungu ni watu waliostaarabika siku nyingi hizi dini kwao walishagunduwa ni utapeli tu hawana shida, lakini kwa Africa ambako bado tupo kwenye mchakato wa kutoka unyani ili kuwa binadamu kamili dini zina nafasi kubwa sana.

Ukitaka kujuwa ulevi wa dini angalia Tanzania na ulaya, huwezi kukuta ulaya upuuzi wa viongozi wa dini kupewa kipaumbele kwenye shughuri za serikali.

Mwenye masikio na asikie, ukiona huwezi kwenda kwenye imani ya mwenza wako vunja hayo mahusiano mapema utaumia lakini utapowa maisha yataendelea na utapata mwingine.
Ukweli mchungu.
 
Natoa mchango kupitia experience yangu binafsi (ndoa ya DC, watoto dini ya baba, Muslims)

Shida kubwa ya hii ndoa ni watu wanaowazunguka (binafsi baba mkwe wangu na robo tatu ya ndugu zake hawakushiriki chochote kilichofuata baada ya mahari, send off hakuja wala harusi hakuja, ingawa harusi ilikua ndogo tu wageni hawakufika 150)

Kilichosaidia mimi binafsi nilikubali watoto wafate kwa baba ila mimi nisiguswe kwa chochote, siwezi kuwa (Muslim, msabato wala mkatoliki)

Nilichojifunza, Muslims wana inferiority complex sana hata awe na shule, mwenzangu kabla ya ndoa nilikua naona kabisa yupo radhi tufanye sogea tukae kuliko kufunga kwa DC na sio kuachana,
Ila mimi niliweka msimamo either kwa DC au kila mtu apambane na hali yake.

Kwetu niliwekwa vikao sababu ukoo mzima hakuna ndoa ya DC, kuna ndoa za kikristo na chache za kiisilamu(less than 3) ambazo ndugu zangu wamebadili, nilikua tu muwazi sitoweza na kama hawapo tayari kuniaga kwa send off basi ntaolewa tu kwa DC bila sherehe muhimu mahari wamechukua

Kilichotubea sisi hatujakutana ukubwani sana, tumekutana umri ambao tushajitambua potential ya kila mmoja na tushaona namna gani tunaweza kubuild empire pamoja, so hasara za kuachana zilikua kubwa kuliko za kuendelea

Binafsi sijutii maamuzi yangu, mwenzangu siwezi kuusemea moyo, ila kama anajuta itakua ni roho ya kibinafsi sababu kiimani mimi ndo nimepoteza sana kuliko yeye

mtihani mkubwa ni kwamba, watoto wanavyozidi kukua wanakua attracted more to christianity sijui kwanini ila imetokea tu sababu huwa nawaona especially mkubwa kwasababu nikiwa nakula live sermons youtube anavutiwa sana na anapenda kuuliza maswali

KEY POINT YA MSINGI: SISI HATUKUWEKA WAZI KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUTOFUNGA NDOA YA KIISILAMU KABLA YA MAHARI, MPAKA MILA ZINAFANYIKA KILA MTU ALIASSUME NTABADILI DINI (NA KUNA NDUGU ZANGU WALIUMIA SANA SABABU KIUKWELI KWETU MUSLIMS HAWAPENDWI ILA HAKUNA MCHUMBA WA HIYO DINI ALOWEKEWA NGUMU KUOA KAMA BINTI AMEKUBALI)

Kijana kama haujaingia kwenye huu mtego hakikisha wote mna akili timamu, mkubaliane watoto wanamfata nani otherwise VITA NI KUBWA ITAWASHINDA, MTAPOTEZEANA MUDA NA MBAYA ZAIDI WATOTO WATAHANGAIKA
I congratulate you for being bold and rational. Siku zote good negotiator ni yule anayekubali mkutane katikati for the best of both kuliko anayeshinikiza uende upande wake tu.
 
Kiukweli kinachofanya watu waishi ni upendo
Babayang na mama yangu walikuwa dini tofaut waliishi vizuri Hadi baba alipofariki tulikuwa na familia Bora sana Yani ukitaja familia Bora ya kwetu Ilikuwa trending mtaani

Baada ya babaangu kufariki miaka mingi kupita baadae mama kaolewa Tena na mtu wa dini yake aisee ni huzuni Hana furaha Wala amani ni mama wa makamo lakin unaona kabisa ameelemewa anaishi kwa kuvumilia tu

Aisee ni Bora mtu sahihi kuliko hayo majuto ya kuwa na mtu asie sahihi
Extrovert nimeelewa ulichozungumza Kwa namna ndicho kilichomkuta mzazi wangu
Exactly... sisi tulipiga hesabu tukaona faida ni nyingi kuliko hasara, maisha yanaenda tu bila migongano ya kidini
Jpili naenda kanisani
Yeye ijumaa na baadhi ya siku hapo katikati muda ukiruhusu....

Mwanzoni maneno maneno yalikua mengi sana, ila walivyoona tunapuuza yakaisha
 
Back
Top Bottom