Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
TANGANYIKA yenyewe tunayoisheherekea haipo, ilikwisha nyakuliwa siyo HURU TENA.Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini.
Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila Mtanzania. Pia ni fursa ya kutathmini tulipotoka, tulipo, na tunakokwenda kama taifa linalothamini amani, umoja, na uzalendo.
π Tusherehekee kwa kutenda haki, kuchapa kazi kwa bidii, na kusimamia misingi ya uhuru wetu. Pamoja tunaweza kujenga Tanzania tunayoitaka!
Jana ilikuwa ni kumbukumbu ya Pearl of harbourLeo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini.
Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila Mtanzania. Pia ni fursa ya kutathmini tulipotoka, tulipo, na tunakokwenda kama taifa linalothamini amani, umoja, na uzalendo.
π Tusherehekee kwa kutenda haki, kuchapa kazi kwa bidii, na kusimamia misingi ya uhuru wetu. Pamoja tunaweza kujenga Tanzania tunayoitaka!
Ulikuwa wapi Zanzibar ilipotawaliwa na Tanganyika miaka 60 Tena Kwa mkono wa ChumaTanganyika inatawaliwa na Mzanzibari! Vituko kweli!