Wewe chukulia hapo ndiyo mwenye akili kuliko wotw chadema, ndiyo Lissu sasa nagimbea nawaambia nini Watanzania wanipe kura zao?Ahhaha wewe ukienda kugombea kwa tiket ta CHADEMA unaonekana ziro kichwani
Hapa tupo mwaka 2025 tunatafuta kura, tuwaingiewapiga kura na sera zipi? bandari inashusha mizigo vibaya sana.Hizo hoja zote wewe na dadako mmeshindwa kuzijibu, hazitafika 2025, majibu ya bandari zetu zote Tanganyika yatapatikana hivi karibuni, usitupoze na ujinga wa 2025.
Chama cha Wahuni kuliko Chama cha Wezi.Kwakweli modality ya siasa za chadema ni yakiuswaz uswazi Sana. wao Kama wao hawana sera, wanaenda na upepo, sahz msimu wa mavuno hutawasikia wanazungumzia bei ya unga na maharage,
2. ishu nyingne wanamatusi Sana wanadhiaki Sana viongozi waliopo, kwa ulimwengu huu watu hawataki matusi ndo maana mtu mwenye akili timamu haweza kujinasibu kuwa yy ni chadema, kwasabu chadema inaonekana Kama ni chama Cha wahuni wahuni.
Kibibi umelowa na hao wavaa kobaziHii bandari na DP World imekula kwetu chadema.
Hakuna mpinzani mwenye akili mbovu kiasi hiki....tafuta joho size yakoLeo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?
2) Bandari zimeuzwa.
Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?
3) Huyi mama msimchaguwe ana akili za "matope", wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.
Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.
Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Hiyo ndiyo shule aliyosomea.Tumia lugha ya staha!
Huyu ushungi hana loloteLeo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?
2) Bandari zimeuzwa.
Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?
3) Huyi mama msimchaguwe ana akili za "matope", wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.
Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.
Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa chadema maama wote kuanzia juu mpaka mdude ni matusi tupuChama cha Wahuni kuliko Chama cha Wezi.
Unawaza uchaguzi tu be mkubwa,shiling imeanguka unamaoni gani,watu masikini ndani ya nchi tajiri,huduma duni mahospitalini,hati chafu kila idara pesa zimepigwa , tafuta kazi ya kufanya mapema bi mkubwa.Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT imeanza kuzaa matunda na imeshaongeza vituo mikoa yote! Dah, itakuwaje?
2) Bandari zimeuzwa.
Wapigakura wakitazama, wanaona DP World wamefunga mitambo mipya, zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania inatokea bandarini. Dah, ntasemaje hapo?
3) Huyi mama msimchaguwe ana akili za "matope", wapiga kura wakitazama kila mahali mambo mazuri, mishahara inaongezwa, madarasa mapya kibao, walimu kibao, maji kedekede, umeme ndiyo usiseme , bwawa la nyerere kinatema tu umeme.
Dah, wakitazma Usafiri, SGR ndiyo inapamba moto, mtua anaishi Morogoro anafanya kazi Dar na anawahi kwenda na kurudi kazini.
Nisaidieni jamani, ntawaambia nini wananchi? Wanipe kura zao?
Aha sawa ila sifikili kama CHADEMA ina soko tena nje ya jfWewe chukulia hapo ndiyo mwenye akili kuliko wotw chadema, ndiyo Lissu sasa nagimbea nawaambia nini Watanzania wanipe kura zao?
Nawaambia banadari imeuzwa, wakitazama DP World anashusha kontena kama hawana akili vizri, wakitazama nangani kule hakuna meli zimetia nanga.
Wakitazama bandarini, huku kwa abiria meli zinashusha magari ya kuwapeleka mbugani watalii yameshonana kama mia ytano hivi, maanake yale ya le mameli ya kutembeza watali yanapakia si mchezo.
Dah, bajeti inasema vinginevyo kabisa na unavyosema wewe.Unawaza uchaguzi tu be mkubwa,shiling imeanguka unamaoni gani,watu masikini ndani ya nchi tajiri,huduma duni mahospitalini,hati chafu kila idala pesa zimepigwa , tafuta kazi ya kufanya mapema bi mkubwa.
Ila wanaoumiza Watanzania kwa makusdudi ili watawale milele na familia zao wanastahili kuabudiwa siyo.Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa chadema maama wote kuanzia juu mpaka mdude ni matusi tupu