Hapo wee ni kula mbususu kila siku.Billion 1 inanitosha kujenga apartments Ambazo nitapata hela mara tatu ya mshahara wangu
HahahahhhahahahNikifikia tu hatua ya kuingiza mil 2 ya uhakika kwa mwezi ambayo haina mbambamba, boss atanikuta ofisini kwake namsubiria hivi ๐ na barua ya kuacha kazi mkononi
View attachment 3435528
Sasa kumbe unateseka njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu mshahara nakupa 2millions unazotakaNikifikia tu hatua ya kuingiza mil 2 ya uhakika kwa mwezi ambayo haina mbambamba, boss atanikuta ofisini kwake namsubiria hivi ๐ na barua ya kuacha kazi mkononi
View attachment 3435528
Hela yangu we jamaaSasa kumbe unateseka njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu mshahara nakupa 2millions unazotaka
๐ ๐ umeanza na kupigia hesabuJamani 1 billion uttt ukwasi navuna kiasi gani kwa mwezi?
Utafanya nn? Na hii pesaTZS M3.6
Unataka mpa mshahara au unataka manyonyoSasa kumbe unateseka njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu mshahara nakupa 2millions unazotaka
Yeye anataka kutoka kwenye ajira na wewe tena unataka kumuajiri ๐Sasa kumbe unateseka njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu mshahara nakupa 2millions unazotaka