Leo hii ukipata kiasi gani Cha fedha utaachana na kuajiriwa?

Mipango TU na pia inategemea aina ya Ajira uliyonayo
Na mazingira pia Kila kitu inategemeana
 
Sasa kwangu sii kwangu atalipwa vizuri....unajua watu hawataki kuajiriwa kwa sababu wananyonywa....mshara tarehe 15 umekwisha.
Budget ndio ya ugali maharage mpaka ukune mbususu.
Kwangu anapata mshara wa tarehe 1 mpaka 30 na chenji inabaki
😂😂😂😂😂
 
Mshahara haujawahi kutosha mkuu. Huo utompa wewe pia hautafika mwisho wa mwezi
The more money we get the more money we spend. Ndio ipo hivyo mkuu
 
Hamna kitu kama hicho bwana....sasa wewe unalipwa mshahara million 10 kwa mwezi unashindwaje kuishi kwa raha mustarehe. Achana na anasa za kijinga bwana kuna level ya mshara ukifika kama ni mwanadamu mwenye akili na mwenye kiasi unaishi fresh. 10 mil per month unaushinfresh kabisa labda ulete mbwembwe tuu
 
Kuajiriwa ni utumwa sana niliwahi ajiriwa kitambo ila ilfika muda nilikuwa naichukia kazi yaani ilinichosha nikaamua kuacha nikaingia mtaani sasa hv na enjoy ninachofanya binafsi mungu hamtupi mja wake hata ukitoka kwenye ajira utaingia tu kwenye mifumo mingine itayokupatia fedha msiogope!...siji kusahau utumwa ule mamaye yaani mvua inanyesha usiku kucha mpaka asubuhi halafu unatakakiwa uwepo kazini saa 2:30 utajua wewe utavyofika na mvua za Dar maji yametuwama kmmk
 
Hamna kitu kama hicho bwana....sasa wewe unalipwa mshahara million 10 kwa mwezi unashindwaje kuishi kwa raha mustarehe. Achana na anasa za kijinga bwana kuna level ya mshara ukifika kama ni mwanadamu mwenye akili na mwenye kiasi unaishi fresh. 10 mil per month unaushinfresh kabisa labda ulete mbwembwe tuu
Hapo hamna cha anasa.
Kama huna nyumba utataka kujenga. Kama ushajenga utataka kuboresha nyumba yako. Kama una Ki IST unatakiuza ununue walau Vanguard...pesa hio hio utataka uanzishe kamradi japo cha uwakala. Yaani kiufupi pesa haitoshi mkuu
Yote kwa yote.. hio 10M ya kumlipa Eve inayo kweli au unachangamsha barza? 🤣🤣🤣
 
Ah mshahara mil10 inatosha kwa yote unayosema
 
Leo hii ukipata kiasi gani Cha fedha utaachana na kuajiriwa?

👇👇👇👇👇👇
Nitawekeza kwanza huku ukishikilia mtaji wa Kazi kwa angalau miaka 2 nikiweka network vzr hapo piga chini job,hakikisha wkt unaacha Kazi una akiba ilio nje ya biashara yako.wengi wanakwama kwakua mtaji hawana na wakipata hela wanakimbilia iPhone na Kkoo kununua nguo na viatu wapendeze kwenye sherehe,wakija amka hawana kitu
 
Back
Top Bottom