ππππ€£Nikifikia tu hatua ya kuingiza mil 2 ya uhakika kwa mwezi ambayo haina mbambamba, boss atanikuta ofisini kwake namsubiria hivi π na barua ya kuacha kazi mkononi
View attachment 3435528
12mil kwa mweziJamani 1 billion uttt ukwasi navuna kiasi gani kwa mwezi?
Acha gambe utaipata...π€£Billion 20 dollars
Kwa mwezi unalipwa elfu hamsini niniTZS M3.6
TZS 0 JoblessKwa mwezi unalipwa elfu hamsini nini