Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

Sio game zote watacheza kwa kujilunda. Mziki wa Spain hata angekuwa nani lazima angezuia tu na kucheza kimkakati. Kwenye Euro si uliona Portugal alivyokuwa kapaki, sema mkakati wake ulitimia na akashinda
 
VIpi kuhusu India na China 😄😄
Curaçao aliyepigwa 7 na German population yao ni 150,000🙌🙌
 
Imetokeaje? Kama Cape hawapo vizuri wangefungwa. Sasa watu hawapo vizuri halafu hawajafungwa inakuwa na maana gani? Wapeni credits zao sababu mmegawana alama sawa
Kwa hiyo Dodoma alivyomfunga Yanga na yeye yupo vizuri kama Yanga au zaidi ya Yanga?

Halafu sema wamegawana alama usinijumuishe sipo Spain nilikuwa nawasapoti tu jana
 
Basi Cape Verde alikuwa bora jana tu na sio kama anavyosema mtoa mada
Sio jana tu. Ana consistency nzuri. Kwenye match 7 za kufuzu kashinda 6 kasare 1. Kutoa sare jana kwa giant kama Spain anadeserve pongezi kubwa. Kapambana sana. Golikipa wao alikuwa superb, man of the match.

Tujifunze kutoa credit kwa wanaofanya poa hasa dhidi ya Giants mkuu, isitoshe ndio first time kwao
 
Hawana team huo ndio ukweli
 
Kanuni ni hiyo hiyo kwa nchi zinazojivunia sifa za kwenye makaratasi: Jana siyo leo! Gusubiri dakika 90 za leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…