Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

Mkuu, kwa Maelezo haya ☝️ nikisema wewe ni miongoni mwa hao waliomchana chana huyo binti wa kichuga nitakuwa nimekuonea?

Maana unajua details zote kuhusu kilimchompata bibie huyo.
Utakuwa ujakosea,ndio maana nimekuambia wakazi wa lile eneo waliona A-Z,kwamba dada alikuwa akibisha kuporwa pochi yake na simu.

Waliongezea kwamba alikuwa anadai mimi ni chalii ya R bora mniue.
 
Ukimgomea kibaka asichukue chako basi, uwe umeridhia rasmi kuingia vitani mulaaaa,pigana sana UKIPATA kisu choma KWELI ukiwaacha unakufa wewe
 
Utakuwa ujakosea,ndio maana nimekuambia wakazi wa lile eneo waliona A-Z,kwamba dada alikuwa akibisha kuporwa pochi yake na simu.

Waliongezea kwamba alikuwa anadai mimi ni chalii ya R bora mniue.
Ili Zanzibar kusiwe na hao wahuni serikali ya mapinduzi haina budi kutangaza mfungo (kama ule wa mwezi mtukufu wa ramadhani) wa siku 365.

Maana kipindi Cha mfungo mkali ulioisha juzi hakukuwa na uhalifu kama huu.

Au unasemaje Mbaga Jr!
 
Back
Top Bottom