Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Wakat wa ramadhani kufanya hayo n dhambi, ila baada ya Ramadhan kufanya hayo ni ruksa 🔥Ili Zanzibar kusiwe na hao wahuni serikali ya mapinduzi haina budi kutangaza mfungo (kama ule wa mwezi mtukufu wa ramadhani) wa siku 365.
Maana kipindi Cha mfungo mkali ulioisha juzi hakukuwa na uhalifu kama huu.
Au unasemaje Mbaga Jr!