😢Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16..
View attachment 3664946
View attachment 3664947
Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya UHAINI.
View attachment 3664957
ok.🐒Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16..
View attachment 3664946
View attachment 3664947
Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya UHAINI.
View attachment 3664957
muujiza unaoishi.Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16..
View attachment 3664946
View attachment 3664947
Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya UHAINI.
View attachment 3664957
Sema kweli ili nitoroke ofsini niende barTupo msibani hapa kizimkazi muda huu
Msiba wa nani tena wakuu?We nae, Tupo msibani wenzio. Ngoja msiba uishe kwanza, Maombi ya watanzania ni makali kweri kweri
Msiba wa naniTupo msibani hapa kizimkazi muda huu
1st gent, mzee ameirMsiba wa nani
Mkuu angalia kumbukumbu zako vizuri, nakumbuka tukio la Lissu ni September 17.Imetimia miaka 9 leo tangu TUNDU ANTIPASS MUGWAI LISSU achakazwe na risasi pale Dodoma ndani ya majengo ya viongozi wa bunge yenye ulinzi masaa 24.
Leo yupo mahakamani kutetea uhai wake kwa mara ya pili kwa kesi ya kubumba,hana historia ya kushindwa,atashinda na atawanyosha,alichagua kuisha dhumuni lake.
Siku ikitokea mwezi mzima kutakuwa hakuna kazi ili watu waweze kusheherekea vizuri. Wallahi kutakuwa na upungufu mkubwa wa bia nchini!Tupo msibani hapa kizimkazi muda huu
Poleni sana1st gent, mzee ameir