Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

Moja ya tukio la kikatili kufanywa na utawala JPM ni hili la kutaka kuondoa uhai wa Lissu iliniuma sana

Makonda alitumiwa na team mtandao kumchafua Magufuli na hapo hapo Makonda alitaka kumfurahisha Magufuli
 
Wale waliomshambulia mpaka kesho hawajulikani..
 
Kuna mtu alitegemea amwandikie TAL Rest In Peace yake.
Matokea yake akaandikiwa yeye....,

Na bado wengi watafuata huku TAL akishuhudia
 
Hakika Lissu ameishi miaka mingi kuliko waliotaka kumpoteza.

Wengi wao wakiwa wamepukutika/wamekuputishwa/wamepukutishana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…