Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

[emoji23][emoji23]
 
Mwanzo ilikua inapiga kazi saivi naona haikonect au wenye mtandao wao watakua wamesanuka wameamua kupiga pin make tigo inagoma halotel l inaconnect ila iko slowa sana ata status whatsapp kufungua ni tabu vipi nyie kwenu tigo bado inaconnect
 
Simu yako ikiwa haina salio wala bundle fanya kuweka data on then Angalia kwenye network bars je ile alama ya lte,H+ au 3G inaonekana pamoja na vile vimshale vya upload na Download↕️↕️?
Kama hakuna jua kwamba hakuna host ya Zero rated yaani wameipiga 🔐🔐🚮🚮🚮 so hakuna trick itakayopiga mzigo kiboya
 
UPDATES:
Jinsi wakuu mnavyozidi kujazana kwenye Tho DroidVPN, mnaifanya kupungua intensity, inakuwa busy sana, just assume hata kufungua uzi inatumia dk 1. Pungueni basi mkatafute hela, vya bure vinaua! kha!
[emoji34][emoji34]
Nunua bando mkuu, una wait dakka 1 nzima kufungua uzi? Huo uvumilivu sina
 
Dah basi wamepiga pin apo nais option ni kutafta rain nyingine
 
Kwahiyo sisi tulale tukuachie wewe VPN ya peke yako ujirambe au sio!
 
Mwanzo ilikua inapiga kazi saivi naona haikonect au wenye mtandao wao watakua wamesanuka wameamua kupiga pin make tigo inagoma halotel l inaconnect ila iko slowa sana ata status whatsapp kufungua ni tabu vipi nyie kwenu tigo bado inaconnect
[emoji23][emoji23][emoji23]
Saver zimezidiwa, wabongo wamekuwa nyomi! Tunapenda vya bure sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…