Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

Nigeria watu wengi wanatumia free internet
 
Naona Vinyembe vya Rungu max na Sumaku vinafanya mambo................
tupe namna nasi tukimbize
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16]Aise!
Nikaona nitoke kwanza jf nielekee YouTube kustream ma videos! Sasa hivi ndo narudi[emoji23] Sema ile ya sumaku ni 2G ila hii ni 5G+ kabisaaaa, hata ile ya Wire Turn inaenda enda! Dah! Sasa tulikuwa wapi! Hata wakifanya 50MB kwa 20,000 Tsh ni sawa tu, tena ngoja niwacall @tigotz ,au basi acha tu [emoji23][emoji23]
 
Kausha mwana tule kimya kimya
 
Oyaaa kausha Watu tule Maisha
 
Ngoja nichomoe betri nikachome kwa wakubwa makao makuu.
 
Mkuu unatumia app ipi na line ipi?,sharing is caring kiongozi
 
Wadau naombeni setting za Wire turn mbona kwangu inazingua... Nipeni uzoefu namna mnavyotumia na kufanya kazi
 

Attachments

  • Screenshot_20220806-162408.png
    12.2 KB · Views: 76
Wadau naombeni setting za Wire turn mbona kwangu inazingua... Nipeni uzoefu namna mnavyotumia na kufanya kazi
Mimi hii mwanzo ilikua inapiga mzigo vzuri sasa nilivo update tu ndo ikaanza kuzingua ikabidi niifute nirudishe ile old version saivi iko poa japo inanipa notification ya ku update ila si update
 
Sio suluhisho vocha utannua tu, jinsi zinavyozingua sometime unaweza Pata hasira ukaifuta siku ukifulia unaikumbuka.
Huu ni ukweli mtupu, nimewahi kuifuta wire tune na kuipakua tena mara kwa mara
 
Chief , mbona hapo Kwenye co part ya TCOUNT Range inaanzia 0mpaka 255 na hiyo 2222 haipo ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…