Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani


Daah sijui kwanini yule engineer wa Kipare aliamua kuniacha yaani kuna wakati nikipitia magumu kwenye mahusiano mapya namkumbuka nasema haya yote yamesababishwa na yeye angekuwapo wala nisingeteseka hivi ..ingawaje nilikuwa simtegemei kifainancial..lakini upendo wake ukarimu na ucheshi na phone calling zile hakika nazimiss....daah Mungu ndie anayejua yaan ..nikikumbuka alivyokuwa akinibembeleza aii jaman...hakika nilipokwa tonge mdomoni...basi ndo hivo maji yakishamwagika hayazoleki...nilikupenda ila shetani akatuharibia.....
 
Reactions: BAK
asa si mrudiane mkuu?
 
Mwambie aende kwa bwana shangingi
 
Hmmm! Pole sana kwa shetani kuwaharibia penzi lililokuwa tamu sana.


 
Niliona kama amebadilika hivi kwahiyo nikaacha kumpigia simu. Nilikata mawasiliano kabisa, ilipofika wiki ya tatu, nikashtuka alaa kumbe siko mwenyewe, siku ya siku nikanyayua simu kumwambia baba basi, akapokea kademu kake, akaniambia niache kumsumbua bwanake! he! nikamwambia kila la heri mama, hapo tuko pamoja mwaka mzima. baadae ya mwezi ananitafuta kuomba msamaha...mxxiiuu...nilishamove on kulikuwa na simba ana randa randa nilivomuhadithia stori akanichekaaa afu akasema "si nilikwambia, long distance haifai, italiwa (papuchi) na sisimizi, nipe mimi"...hahaha that was all he needed to say akadaka fresh tu. lol.
 
Hivi niliachwa au niliacha?? Kwasababu gani vileeee???
Mmmmh.
Nitarudi
 
Reactions: SDG
Duuh wangu alikuwa mzuri kwa kweli kwenye umbo sura rangi ila tatizo lililo nikimbiza ni hakujuwa kusoma na kuandika alafu mkorofi japo nilimvumilia na tatizo lake ila hakuona kama ni kwaajili ya mapenzi
 
Niligundua amenizidi uwezo wa kufikiri,nikaona very soon atanimwaga.Nikamuwahi yy! She didnt believe.
 
mwanamke fulani hivi maarufu sana katika kituo cha redio fulani...hakuridhika na jamii yangu..mara nduguyo ni mwebamba mara bibiyo amezeeka sana mara binamu zako hivi..ikawa vigumu kumvumilia nikampotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…