Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
alikuwa ananuka mdomo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
hata kama lakini ili wawe na mvuto wanahitajia ghalama na wewe ndio unahitajia kuyaghalamiaMkuu kwani wenyewea si walipewa bure?
asa si mrudiane mkuu?Daah sijui kwanini yule engineer wa Kipare aliamua kuniacha yaani kuna wakati nikipitia magumu kwenye mahusiano mapya namkumbuka nasema haya yote yamesababishwa na yeye angekuwapo wala nisingeteseka hivi ..ingawaje nilikuwa simtegemei kifainancial..lakini upendo wake ukarimu na ucheshi na phone calling zile hakika nazimiss....daah Mungu ndie anayejua yaan ..nikikumbuka alivyokuwa akinibembeleza aii jaman...hakika nilipokwa tonge mdomoni...basi ndo hivo maji yakishamwagika hayazoleki...nilikupenda ila shetani akatuharibia.....
Mkuu mi hapo ndo ninapotofautiana na wewehata kama lakini ili wawe na mvuto wanahitajia ghalama na wewe ndio unahitajia kuyaghalamia
asa si mrudiane mkuu?
Mwambie aende kwa bwana shangingiAlikuwa hataki niwe karibu nae tuzungumze na kufanya mawili matatu yanayotuhusu! Akiwa ana shida anakuwa mpole wa kunilegezea sauti na unyenyekevu uliotukuka, lakini baada ya kumsaidia ananisahau kabisa mpaka inafika hata week. Siku moja nilimuomba mchezo akawa mkali zaidi ya mbogo aliyejeruhiwa na sime! Nikamvumilia! Juzi nikamuona kapakiwa kwenye shangingi na mtanzania mwenzangu mmoja hivi. Basi bwana nikavunga ingawa niliumia sana....sasa Jana akaja kuniomba msamaha na nikajikuta namkubalia.....sasa Leo anasema anashida na 30000/= sasa hivi nimpe au Nipige chini?
Tayari nimeshatemana nae....Mwambie aende kwa bwana shangingi
Daah sijui kwanini yule engineer wa Kipare aliamua kuniacha yaani kuna wakati nikipitia magumu kwenye mahusiano mapya namkumbuka nasema haya yote yamesababishwa na yeye angekuwapo wala nisingeteseka hivi ..ingawaje nilikuwa simtegemei kifainancial..lakini upendo wake ukarimu na ucheshi na phone calling zile hakika nazimiss....daah Mungu ndie anayejua yaan ..nikikumbuka alivyokuwa akinibembeleza aii jaman...hakika nilipokwa tonge mdomoni...basi ndo hivo maji yakishamwagika hayazoleki...nilikupenda ila shetani akatuharibia.....
..moyo wa jamaa unamatundu ka chujio,..Inonekana moyo una maumivu makali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini bado unammisAlisema cha nini mwingine akasema ntakipata lini. Niko na anayejua umuhimu wangu.