Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani


Duniani kuna watu wachafu hivyo!!! Ata kama ni mchafu jamani, ukifika sehemu ya mtu msifa basi jifanye na wewe msafi... Alijibweteka ata kabla hajapata ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilitumia ujana na balehe yangu vibaya matokeo yake nikawa na watoto kama paka na kila mmoja alikuwa na mama yake,nikaja kupata mpenzi miaka ya 2000 mwanzon alipogundua nina watoto watatu na kila mmoja akiwa na mama yake akaniacha.....sijawah kumlaumu kwa kuniacha kwake na mpaka leo tupo kalibu kama friends!!!!!!!!!`
 
Alikua hanifikishi,nikamweleza ukweli tuakaachana,kuliko kumcheat ni bora tuachane kwa amani. Hadi Leo ni rafiki yangu sana, japo najua siri yake ana kibamia kama cha mtoto.
oooh..Jesus Christ of Nazareth
 
yn tulikua na kawaida tukigombana tunanuniana ...km wiki hlf tunatafutana tunasameheana...cku iyo tukanuniana na hakuna aliyemtafuta mwenzake ni mwaka sasa....ilikua mwaka jana mwez wa 4
kwa hiyo mfano akikutafuta leo itakuaje?
 
lakini mkuu,si ungemuelimisha tu hayo mambo ya usafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…