Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Hivi hizi tabia za kutoka kwenu unaenda mpikia mwanaume ambae sio mume wako kwa wkt huo zimetoka wapi? Sasa hotelin nan atanunua? Achen hizo bhana hata huko hotelin wanataka wateja
Hahah mkuu mara nyingi inakuwa ni wikiend sio deile,na huwa inategemeana na jinsi mnavyoishi.unakuta kutokana na pilika unakula fast food na vyakula vya migahawani wiki nzima,inafika wakati unamiss kula chakula cha nyumbani.alafu mi mwenyewe napenda kupika so sometimes naweza nkaja kwako na groceries nkapika tukala.kwahyo sio kuwa nampikisha sababu ni mwanamke wangu.anapika sababu panatakiwa palike.
 
pengine na wewe una bwawa la kuvulia samaki na yeye anakufichia siri

Ha ha ha kuna principle moja ya bwana Newton anasema "To every action there is equal and opposite reaction"
Umeniua kabisa na sasa shida kuubwa iko hapo wengi walioko na mabwawa hua wanasema jamaa kibamia manake naskia hua kwa wanawake wakiwa mabwawa hawajijui ila mwanaume unapoogelea ndio unajua duu soo hii...
 
Hahah mkuu mara nyingi inakuwa ni wikiend sio deile,na huwa inategemeana na jinsi mnavyoishi.unakuta kutokana na pilika unakula fast food na vyakula vya migahawani wiki nzima,inafika wakati unamiss kula chakula cha nyumbani.alafu mi mwenyewe napenda kupika so sometimes naweza nkaja kwako na groceries nkapika tukala.kwahyo sio kuwa nampikisha sababu ni mwanamke wangu.anapika sababu panatakiwa palike.
Hahaaha mm nikija kwako ni mgeni kabisa nakaribishwa kama wagen wengine. Mambo ya kuingia jikon yana wakati wake
 
Umeniua kabisa na sasa shida kuubwa iko hapo wengi walioko na mabwawa hua wanasema jamaa kibamia manake naskia hua kwa wanawake wakiwa mabwawa hawajijui ila mwanaume unapoogelea ndio unajua duu soo hii...
Unaogeleaje mkuu, kwa hiyo unapiga mbizi kbsa ama? Achen matus
 
Hahaaha mm nikija kwako ni mgeni kabisa nakaribishwa kama wagen wengine. Mambo ya kuingia jikon yana wakati wake
Ugeni mwisho siku tatu,haiwezekani umeshalala hapo mara kibao,kona zote unazijua,na zagazaga za kwenye fuliji unazidonoadonoa kila ukija alafu ujifanye mgeni.kama umegegedewa hapo basi ushakuwa mwenyeji
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwani huko hotelini ulishaambiwa wewe ni mwenyeji?
 
Asa kwani hotelini naendaga kulala au nkishakula.kabla sjasepa naacha viatu vyangu na boska,au namgegeda muhudumu.pale nkienda nakula nachapa lapa
 
yani sijaweza hata siku kumwacha mpenzi wangu..tulipatana wakati niko first year chuo kikuu kule jijini nairobi..
 
Back
Top Bottom