Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah mkuu mara nyingi inakuwa ni wikiend sio deile,na huwa inategemeana na jinsi mnavyoishi.unakuta kutokana na pilika unakula fast food na vyakula vya migahawani wiki nzima,inafika wakati unamiss kula chakula cha nyumbani.alafu mi mwenyewe napenda kupika so sometimes naweza nkaja kwako na groceries nkapika tukala.kwahyo sio kuwa nampikisha sababu ni mwanamke wangu.anapika sababu panatakiwa palike.Hivi hizi tabia za kutoka kwenu unaenda mpikia mwanaume ambae sio mume wako kwa wkt huo zimetoka wapi? Sasa hotelin nan atanunua? Achen hizo bhana hata huko hotelin wanataka wateja
Umeniua kabisa na sasa shida kuubwa iko hapo wengi walioko na mabwawa hua wanasema jamaa kibamia manake naskia hua kwa wanawake wakiwa mabwawa hawajijui ila mwanaume unapoogelea ndio unajua duu soo hii...pengine na wewe una bwawa la kuvulia samaki na yeye anakufichia siri
Ha ha ha kuna principle moja ya bwana Newton anasema "To every action there is equal and opposite reaction"
Hahaaha mm nikija kwako ni mgeni kabisa nakaribishwa kama wagen wengine. Mambo ya kuingia jikon yana wakati wakeHahah mkuu mara nyingi inakuwa ni wikiend sio deile,na huwa inategemeana na jinsi mnavyoishi.unakuta kutokana na pilika unakula fast food na vyakula vya migahawani wiki nzima,inafika wakati unamiss kula chakula cha nyumbani.alafu mi mwenyewe napenda kupika so sometimes naweza nkaja kwako na groceries nkapika tukala.kwahyo sio kuwa nampikisha sababu ni mwanamke wangu.anapika sababu panatakiwa palike.
Unaogeleaje mkuu, kwa hiyo unapiga mbizi kbsa ama? Achen matusUmeniua kabisa na sasa shida kuubwa iko hapo wengi walioko na mabwawa hua wanasema jamaa kibamia manake naskia hua kwa wanawake wakiwa mabwawa hawajijui ila mwanaume unapoogelea ndio unajua duu soo hii...
Hata hausikii nakwambia mm.....Unaogeleaje mkuu, kwa hiyo unapiga mbizi kbsa ama? Achen matus
Huwa unasikiaga nn kwani mkuuHata hausikii nakwambia mm.....
Kwan mkuu unavyo tembea na malapa barabaran na ukiwa umevaa raba barabaran tofauti ya sauti zake zinakuaje mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hata hausikii nakwambia mm.....
Hahaha.. Vyenye nakupendaga... Hahaha... And you know as well the way i want and love u...
Ugeni mwisho siku tatu,haiwezekani umeshalala hapo mara kibao,kona zote unazijua,na zagazaga za kwenye fuliji unazidonoadonoa kila ukija alafu ujifanye mgeni.kama umegegedewa hapo basi ushakuwa mwenyejiHahaaha mm nikija kwako ni mgeni kabisa nakaribishwa kama wagen wengine. Mambo ya kuingia jikon yana wakati wake
Hahaha.. Vyenye nakupendaga... Hahaha... And you know as well the way i want and love u...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwani huko hotelini ulishaambiwa wewe ni mwenyeji?Ugeni mwisho siku tatu,haiwezekani umeshalala hapo mara kibao,kona zote unazijua,na zagazaga za kwenye fuliji unazidonoadonoa kila ukija alafu ujifanye mgeni.kama umegegedewa hapo basi ushakuwa mwenyeji
Asa kwani hotelini naendaga kulala au nkishakula.kabla sjasepa naacha viatu vyangu na boska,au namgegeda muhudumu.pale nkienda nakula nachapa lapa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwani huko hotelini ulishaambiwa wewe ni mwenyeji?
Mhhhhhh mkuuu kweli?Asa kwani hotelini naendaga kulala au nkishakula.kabla sjasepa naacha viatu vyangu na boska,au namgegeda muhudumu.pale nkienda nakula nachapa lapa
Usijali love.. Leo we had a long day.. Najua umechoka sana.. Poleee eeh.. Kesho sawa pia..Ofcourse I know it very well
Ile kitu ingine ileee leo taifanya kesho mylove sawa eeeh ??
Ila ilikuwa zamani mkuu skuiz nshatubu na nmeacha uzinzi.naongelea uzoefu tu.Mhhhhhh mkuuu kweli?
Noted with a respect[emoji61]Ila ilikuwa zamani mkuu skuiz nshatubu na nmeacha uzinzi.naongelea uzoefu tu.