Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Baada ya kwenda UDSM mchumba wangu akawa popo mbaya zaidi sikupata hata nafasi ya kumvua Pete yangu ya uchumba gold ring ya 350000 enzi hizo miaka ya 2006,hadi bado nampenda sana sema alishakuwa mtu maarufu na ameolewa na mtu maarufu,wazazi wananiambiaga hakuwa riziki yangu na pengine hasingekuwa mke mwema
Dah inasikitisha Sana pole mkuu
 
Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.

Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.

Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
Me nlikua na jamaa mmja basi siku kaja nyumbani kwangu tukala akasepa.....badae akanitumia sms ety me siwezani na mm kwanza hatuendani we mwenzangu umepanga nyumba kubwa siwez hata kukulipia pesa ya kodi miez minne......eeh nkasema lahaula lakwata

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kupotezewa

Bwana wa zamani alikua anapenda kuimba imba. Nikituma sms kumsalimia atajivuta sana kujibu, nikimuambia nmem-miss atafoka namtoa kwene mood ya kuimba [emoji23] na ni muda wote alikua hivyo. Nikienda kwake wakat naondoka hata kunisindikiza hakua anataka nikaelewa tu hapa sitakiwi nikajitoa kimya kimya. Akaja kuhoji vipi umepata bwana mwingine ?? nikashangaa kwa anayoyafanya anategemea niendelee nae ili iweje. Mwaka jana niliskia amefariki [emoji17]

R.I.P Inno
Ooooh poleeeeh sana.
 
Me nlikua na jamaa mmja basi siku kaja nyumbani kwangu tukala akasepa.....badae akanitumia sms ety me siwezani na mm kwanza hatuendani we mwenzangu umepanga nyumba kubwa siwez hata kukulipia pesa ya kodi miez minne......eeh nkasema lahaula lakwata

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
K ulimpa?
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom