Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Sawa Baba levo tumekusikia. Vipi umeshajifungua wale mapacha watatu , uliotutangazia utamzalia mondi?
Inawezekana ni baba levo huyu ..nyuma panawasha ile mbaya sio kwa mahaba haya, Mara zuchu, Mara nasibu nyange ..
 
mimi sio shabiki sana wa miziki hii ya vijana wa kizazi cha social media. nimeisikiliza wimbo mpya wa nandy akimshirikisha koffi olomide, ukweli ni wimbo wa kawaida sana.

no hate feelings.
 
mimi sio shabiki sana wa miziki hii ya vijana wa kizazi cha social media. nimeisikiliza wimbo mpya wa nandy akimshirikisha koffi olomide, ukweli ni wimbo wa kawaida sana.

no hate feelings.
Wimbo wa kawaida...alichoharibu mtoa mada kwenye bandiko lake ni hiyo kumpigia promo huyo mwingine
 
Kofi kajivunjia heshima bure.... Ngoma ya hovyo kabisa
 
Vijana wa kiume siku hizi mnatuangusha sana,unakuta janaume zima linaimba sukari nailamba......kweli? Hata kujiuliza maudhui ya wimbo hamreason.........aibu sana,wanaume tumebaki wachache sana
Sasa kama wanakwanguliwa (kucha )huku wananyonya bidhaa ile pendwa kwa bila wasiwasi hupita na kuwaambia bado wanja tu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…