Leo mjanja nimekamatika, naona kama nimetapeliwa Tsh. Milioni 1

Kuwa na amani. Hiyo pesa itarudishwa, na pengine wakala alikosea tarakimu.
 
Naweza asipofungua tena pale, na kwanin aliandika 1M badala ya laki1
Huenda Dogo hajui au kajikuta kazidisha 0, maana hata mimi ishawahi toke natoka Mwanza na Buss nilipofika Shy nikasema ngoja nikatoe 15,000 kwa wakala nmb, nilipofika pale nikamkuta Bint, nikampa kadi, akaandika kiasi nikaweka pswd kisha akanipa 15,000 yangu na kadi, nikarudi kwenye Bus, wkt nipo njiani nikasoma sms ya salio nikaona kiasi kilichotoka ni 1500 badala ya 15,000
 
Bora hiyo ilikula kwake japo hela ndogo Sana
 
Kuwa na amani. Hiyo pesa itarudishwa, na pengine wakala alikosea tarakimu.
Labda kwasababu ya mashine kua nzito akaongeza0 kimakosa, ila naweza mbona namba yake haipatikan Hadi MDA huu na Jana na Leo hajafungua
 
Madogo wa JF jam sana.. hivi lini watu mtakua serious na hii platform aisee.. hii ishu ya huyu Jamaa imekaa serious sana alafu kuna wadau wanaingiza utani… tuanze kulipia ada ya Mwezi humu!!!

Mkuu kivyovyote vile, nenda polisi… angekua sio tapeli angekupigia simu.. nenda polisi wakupe mpelelezi kabisa mpe ya Maji then ukakamate hilo jambazi hapo ofisini. Ni jambaz la kimtandao hilo
 
Yani sielewi maana nmewapigia CRDB wakaniambia labda kwakua ni weekend ndio mana wamefunga, niende jumatatu kama sijafanikiwa niwajulishe, maana wanasema account ya huyo wakala IPO vizuri tuu na ni MTU anafanya miamala
 
Kivyovyote vile ataenda kujieleza polisi.. hiyo ni polisi case na usipo ripoti utakua unafanya obstruction of Justice.. au ukute hata boss hana taarifa ila kijana ndo anakata mbuga kurudi kwao Usangu huko Rujewa.. watajitaja iyo jumatatu huko kituoni na Uwe serious kwel kwel spendi majitu majizi mm shubaamiit!!
 
Hao madogo wana tamaa huenda ameichukua kakimbia.Ila wewe uko safe ,mwenye office atakulipa.Kuna dogo mjinga alisepa na pesa na simu za wakala.Tulimpata yuko segerea mwezi mzima huu
 
Huyo wakala itakua mjinga,pesa yako haijapotea i
 
Inabid jumatatu Kesho mpaka sa4 asubuhi kama hapajafunguliwa naenda POLISI, na naskia pale MWENYE biashara ni mwanamke Kwa hiyo inawezekana mfanyakazi wake kaleta ujanja
 
Kuna watu wajinga Sana mnaleta utani, Yani nilichoandika hapo bado MTU haelewi, Yani sijui ni kua hizi huduma hamjawah kutumia au vipi
 
Huyo wakala itakua mjinga,pesa yako haijapotea i
 
Kuna watu wajinga Sana mnaleta utani, Yani nilichoandika hapo bado MTU haelewi, Yani sijui ni kua hizi huduma hamjawah kutumia au vipi
Nenda polisi haraka sanaaa! Hiyo kesi wakala anashinda mchana kweupee ukizembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…