Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

hahaha comment zinachekesha ...husda zitatuua wabongo...akipikiwa vizuri ni mafuta mengi ..akipikiwa ovyo mke hafai...
Maisha ya ndoa ukisikiliza watu hautadumu
 
Kupika ni kipaji shoga. Sababu sio kwa futa hilo jamaani. Khaaa.

Na hiyo nyama huo muonekano. Sijui ndio utumbo huooo?
dada had kaka ataogopa kushare nasi kitu kizur siku ingine
 
dada had kaka ataogopa kushare nasi kitu kizur siku ingine
Hahhaaa. Mdogo wangu kuna Mapishi bwana sasa kwa huo mchuzi lazima tumwambie ili naye apate kumwambia Wifi apunguze.

Na kupika kwataka utulivu hapo ndio upishi unaonekana sasa kama akipika huku anachat basi haya ayategemee tu kwa kweli. Hahahaaa.
 
hahha mi simoo lakini msalimie mdogo wako maan kapotea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…