Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

Tunawadai mambo mengi sana ndio maana wanajitenga ili tusipate nafasi ya kuwauliza.

Kwa mfano kwenye interview na Tido bado akatumia msafara within the premises za Ikulu.

Yaani ilishangaza mno.
Kiongoz gn nchi ambaye hajawahi kuwa na msafara

Ova
 
Kiongoz gn nchi ambaye hajawahi kuwa na msafara

Ova
Kwahiyo unaona sahihi kutumia msafara wa magari kwenda kwenye interview within the premises za ikulu.

Yaani uchome mafuta kupiga raundi hapo nyumbani kwako??

Si wangetafuta location nyingine ambayo hata haitahitaji kutumia msafara??

Awamu hii ina matumizi makubwa sana ya anasa.
 
Msafara wa aliyetangulia ulikuwaje
Mbona ulikuwa msafara mkubwa tu hadi na helikopta
Mbn hamkulalamika

Jk naye msafara wake ulikuwaje teh teh

Kna wakt mpk ma rc walikuwa na misafara mbn

Ova
 
Yaani kama huna kitengo awamu hii,duuuh! utateseka sana,maana kila mmoja anang'ang'ana kula.
 
Tunawadai mambo mengi sana ndio maana wanajitenga ili tusipate nafasi ya kuwauliza.

Kwa mfano kwenye interview na Tido bado akatumia msafara within the premises za Ikulu.

Yaani ilishangaza mno.
Wale waliopo kwenye msafara wa raisi wanalipwa posho.
Kumbuka na hii
 
Sina, unaweza kuona kwenye live broadcast ...
Kibunango ulinzi wa aina hii umeanza kupamba moto awamu ya Magufuli. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa hakuna kitisho cohchote cha usalama kwa viongozi bali ni njia ya kisaikolojia ya kuwafanya watu waone uongozi kiongozi ni nguvu isiyotakiwa kuchezewa, ni alfa na omega, ni kila kitu. Kwa wanaojua psychology wanalijua hili. Msisahau kuwa hata Makonda naye alikuwa na ulinzi wake wa kila mbwembwe. Kwa kifupi wanatuma ujumbe kuwa dont mess with the President. Nia hasa ni kutaka wananchi wawaogope na kuwatukuza.
 
Kibunango ulinzi wa aina hii umeanza kupamba moto awamu ya Magufuli. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa hakuna kitisho cohchote cha usalama kwa viongozi bali ni njia ya kisaikolojia ya kuwafanya watu waone uongozi kiongozi ni nguvu isiyotakiwa kuchezewa, ni alfa na omega, ni kila kitu. Kwa wanaojua psychology wanalijua hili. Msisahau kuwa hata Makonda naye alikuwa na ulinzi wake wa kila mbwembwe.
Sipendi kuona Bi Samia akiingia kwenye mtego huu even though naye alikuwepo kwenye awamu ya tano...

All in all you nailed it!
 
Kibunango ulinzi wa aina hii umeanza kupamba moto awamu ya Magufuli. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa hakuna kitisho cohchote cha usalama kwa viongozi bali ni njia ya kisaikolojia ya kuwafanya watu waone uongozi kiongozi ni nguvu isiyotakiwa kuchezewa, ni alfa na omega, ni kila kitu. Kwa wanaojua psychology wanalijua hili. Msisahau kuwa hata Makonda naye alikuwa na ulinzi wake wa kila mbwembwe.
Teh teh

Kutesa kwa zam

Ova
 
Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!

Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu!

Tukiwa tuaendelea kuzindua hiyo Royal Tour huku viongozi wakiwa kwenye ulinzi mkubwa namna hiyo kushinda hata wa yule wa Ukraine, dunia hii itatuelewa vipi?

Kuna kipindi cha awamu ya kwanza kadhia hii ilipigwa marufuku. Awamu ile msafara ulifikia magari kumi... na ukakemewa hadi kurudi kwa magari matano

Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja! Tunajenga nchi au tunabomoa? Huu ni ufahari au ni ulimbukeni au ni dalili ya ukosefu wa ajira?

Hili limepigiwa kelele na wengi hapa kijiweni na ni vema tukapata ufafanuzi kwa nini hali hii ipo na inaendelea kukua! Mbona wakiwa nje ya nchi, ulinzi wao ni wakawaida tu!

Tukiwa katika hali ya sasa ya mfumko wa bei ni vema hao viongozi kuonyesha kweli nchi yetu ipo katika hali ngumu na sio hizo anasa wanazotuonyesha!
We ulitaka Mhe Rais aende Vits?? watu wengine mko hovyo sana.
 
Msafara wa aliyetangulia ulikuwaje
Mbona ulikuwa msafara mkubwa tu hadi na helikopta
Mbn hamkulalamika

Jk naye msafara wake ulikuwaje teh teh

Kna wakt mpk ma rc walikuwa na misafara mbn

Ova
Ukipitia threads za hapa kijiweni, misafara ya Hayati Magu ilipigiwa kelele sana... Hadi kuonekana kama yeye ni mshamba fulani...

Kwa Bi Samia nilitegemea kuona tofauti fulani, lakini naona naye kaiga na hadi huko SMZ nao wameiga!

Simply ni Upumbavu tu!
 
hapana kwenye swala la ulinzi wa viongozi sio swala la kuleta mzaha.kuna nchi jirani zaidi ya mbili kuna magaidi wanaachia video za kutisha viongozi wa nchi tofauti tofauti ikiwemo na tz.
 
We ulitaka Mhe Rais aende Vits?? watu wengine mko hovyo sana.
Hivi wewe una macho kweli? Ulinzi wake umezidi hadi kuwa kero! Jaribu kufuatilia Ziara zake nchini, ni fujo tu! Then linganisha na anapokuwa nje ya nchi!
 
Huwa ninashangaa sana kiongozi anasema yuko madarakani kwa ushindi wa kishindo, lakini ana ulinzi Mkali kuliko aliyeingia kwa kupindua nchi. Ukitaka ucheke ufe, akiwa nje ya nchi ambako hana hata kura moja ana ulinzi wa kawaida mno. Hapo ndio ninawaelewa wazungu wanapotufananisha na nyani.
Watu wanalamba asali wewe tulia
 
Leo mmegeuka tena mnasema ulinzi ni mkali sana?

Kipindi Mama anaingia si mlikuwa mnamtukuza kwamba ana walinzi wachache sana na kwamba yeye ni kipenzi cha Watanzania tofauti na ilivyokuwa kwa Jiwe!?

Kwa hiyo tupewe nini basi turidhike?
Tulia tulambe asali wewe
 
..Ukiacha msafara wa raisi siku hizi kuna utitiri wa viongozi wenye misafara.

..Kwa mfano, nimewahi kukutana na msafara wa katibu mkuu kiongozi!!

..Mwalimu nyerere aliwahi kukemea tabia hii ya misafara mikubwa mikubwa katika hotuba au andiko lenye title " pomposity. "

..Nakumbuka mzee mwanakijiji aliwahi kutuletea hotuba / andiko la mwalimu nyerere hapa jf.
 
Back
Top Bottom