Vito Ferari
JF-Expert Member
- Mar 31, 2022
- 290
- 416
Rais anapoenda mahali popote, viongozi wa eneo anapoenda, lazima wakampokeee......hayo magari yote wanaoyaandaa ni viongozi wa eneo analotembelea...hiyo iko ivyo dunia nzimaKwahiyo unaona sahihi kutumia msafara wa magari kwenda kwenye interview within the premises za ikulu.
Yaani uchome mafuta kupiga raundi hapo nyumbani kwako??
Si wangetafuta location nyingine ambayo hata haitahitaji kutumia msafara??
Awamu hii ina matumizi makubwa sana ya anasa.