Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu upuambavu ulianza kwa Magufuli, magari kibao na helkopta anganiAwamu ya nne ndege ilikuwa inajaa hadi wazamiaji na kwa hiyo usiulize sana kwamba kwa sasa tunaongozwa na awamu ya ngapi mpaka unaona msafara una magari mengi, wanalamba asali huku wakipapaswa.
Huyu aliyeanzisha mada ni kipenzi cha mwendazake kindakindakiLeo mmegeuka tena mnasema ulinzi ni mkali sana?
Kipindi Mama anaingia si mlikuwa mnamtukuza kwamba ana walinzi wachache sana na kwamba yeye ni kipenzi cha Watanzania tofauti na ilivyokuwa kwa Jiwe!?
Kwa hiyo tupewe nini basi turidhike?
Yule hakuwa na ulimbukeni wa Urais, pamoja na Urais wake alipenda kujichanganya na wananchi.Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!
Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
Muhutu ndo alivunja rekodi kwa nyomi la walinzi lakini haikuvua dafu kwa wazee wa Luangwa mkoani Lindi noma sana walimtest kumfukizia moshi katikati ya nyomi la MakilikiliYule hakuwa na ulimbukeni wa Urais, pamoja na Urais wake alipenda kujichanganya na wananchi.
Kwa taarifa tu, nishafanya kazi na Bi Samia, Masauni, Nahodha na wengine tuHuu upuambavu ulianza kwa Magufuli, magari kibao na helkopta angani
Hilo la msafara ni mkubwa kuliko kiongozi wa nchi za Ulaya...Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!
Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu!
Tukiwa tuaendelea kuzindua hiyo Royal Tour huku viongozi wakiwa kwenye ulinzi mkubwa namna hiyo kushinda hata wa yule wa Ukraine, dunia hii itatuelewa vipi?
Kuna kipindi cha awamu ya kwanza kadhia hii ilipigwa marufuku. Awamu ile msafara ulifikia magari kumi... na ukakemewa hadi kurudi kwa magari matano
Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja! Tunajenga nchi au tunabomoa? Huu ni ufahari au ni ulimbukeni au ni dalili ya ukosefu wa ajira?
Hili limepigiwa kelele na wengi hapa kijiweni na ni vema tukapata ufafanuzi kwa nini hali hii ipo na inaendelea kukua! Mbona wakiwa nje ya nchi, ulinzi wao ni wakawaida tu!
Tukiwa katika hali ya sasa ya mfumko wa bei ni vema hao viongozi kuonyesha kweli nchi yetu ipo katika hali ngumu na sio hizo anasa wanazotuonyesha!
🤣🤣Nyerere alisema mkiona viongozi wamejiongezea ulinzi mjue wanawaibia.
Angalia usije haribu mimba,una chuki na serikali mpaka mashavu yamekufura!!..Hiyo misafara ya viongozi wa hii nchi kwa kiasi kikubwa ndio kichocheo cha umasikini wa hili taifa, pesa inayotumika kugharamia mafuta ya hayo magari kwa mwaka ni nyingi sana.
Haiwezekani kila siku wanasema wanapiga vita umasikini huku wao wanaendeshwa kwenye msafara wa v8 unaozidi magari ishirini, hawa watu hawako serious.
Hiki ni kielelezo kwamba viongozi wa nchi masikini hutumia madaraka yao for publicity, wala sio kuhudumia wananchi wanaowaongoza, madaraka kwao ni sawa na kushinda bahati nasibu, ndio maana hupongezwa from different angles wanapoteuliwa.
Rais akiwa ugenini,mwenyeji ndiye anayewajibika na usalama wakeMarekani Samia alikuwa na Magari 3. Yake na walinzi 4, walinzi wengine pamoja na nyingine iliyobeba wasaidizi wa karibu. Daktari, Katibu na Mkurugenzi wa Mawasiliano
Nyerere siyo rejea ya maanaNyerere alisema mkiona viongozi wamejiongezea ulinzi mjue wanawaibia.
Nyerere, sio mwendazake anayenunua madafu ya shs50,000/= eti na kahawa!...... na chopper juu ya kichwa chake... Ni upumbavu mkubwa kotokea ktk nchi yetu
Mimi sijakataa, ila nilimjibu huyo mdau aliyesema hii inatokea awanu hii kwa sababu inaendeshwa na awamu ya nneKwa taarifa tu, nishafanya kazi na Bi Samia, Masauni, Nahodha na wengine tu
Cha msingi ni kuona Bi Samia anaachana ujinga wa misafara...
Ziara zitapendeza bila ya kuwa na rundo ya usalama... Wanakera mno...
Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!
Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu!
Tukiwa tuaendelea kuzindua hiyo Royal Tour huku viongozi wakiwa kwenye ulinzi mkubwa namna hiyo kushinda hata wa yule wa Ukraine, dunia hii itatuelewa vipi?
Kuna kipindi cha awamu ya kwanza kadhia hii ilipigwa marufuku. Awamu ile msafara ulifikia magari kumi... na ukakemewa hadi kurudi kwa magari matano
Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja! Tunajenga nchi au tunabomoa? Huu ni ufahari au ni ulimbukeni au ni dalili ya ukosefu wa ajira?
Hili limepigiwa kelele na wengi hapa kijiweni na ni vema tukapata ufafanuzi kwa nini hali hii ipo na inaendelea kukua! Mbona wakiwa nje ya nchi, ulinzi wao ni wakawaida tu!
Tukiwa katika hali ya sasa ya mfumko wa bei ni vema hao viongozi kuonyesha kweli nchi yetu ipo katika hali ngumu na sio hizo anasa wanazotuonyesha!
Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!
Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu!
Tukiwa tuaendelea kuzindua hiyo Royal Tour huku viongozi wakiwa kwenye ulinzi mkubwa namna hiyo kushinda hata wa yule wa Ukraine, dunia hii itatuelewa vipi?
Kuna kipindi cha awamu ya kwanza kadhia hii ilipigwa marufuku. Awamu ile msafara ulifikia magari kumi... na ukakemewa hadi kurudi kwa magari matano
Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja! Tunajenga nchi au tunabomoa? Huu ni ufahari au ni ulimbukeni au ni dalili ya ukosefu wa ajira?
Hili limepigiwa kelele na wengi hapa kijiweni na ni vema tukapata ufafanuzi kwa nini hali hii ipo na inaendelea kukua! Mbona wakiwa nje ya nchi, ulinzi wao ni wakawaida tu!
Tukiwa katika hali ya sasa ya mfumko wa bei ni vema hao viongozi kuonyesha kweli nchi yetu ipo katika hali ngumu na sio hizo anasa wanazotuonyesha!
Magufuli ndio rais alieongoza kwa kuwa na msafara wa magari mengi, tuseme ukweli.Awamu ya nne ndege ilikuwa inajaa hadi wazamiaji na kwa hiyo usiulize sana kwamba kwa sasa tunaongozwa na awamu ya ngapi mpaka unaona msafara una magari mengi, wanalamba asali huku wakipapaswa.