Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

Awamu ya nne ndege ilikuwa inajaa hadi wazamiaji na kwa hiyo usiulize sana kwamba kwa sasa tunaongozwa na awamu ya ngapi mpaka unaona msafara una magari mengi, wanalamba asali huku wakipapaswa.
Huu upuambavu ulianza kwa Magufuli, magari kibao na helkopta angani
 
Leo mmegeuka tena mnasema ulinzi ni mkali sana?

Kipindi Mama anaingia si mlikuwa mnamtukuza kwamba ana walinzi wachache sana na kwamba yeye ni kipenzi cha Watanzania tofauti na ilivyokuwa kwa Jiwe!?

Kwa hiyo tupewe nini basi turidhike?
Huyu aliyeanzisha mada ni kipenzi cha mwendazake kindakindaki
 
Tunapigana kwenye mipaka ya Mtwara na ndani ya nchi ile.. Mwacheni alindwe wewe nani unahoji ulinzi wa Rais .. umetumwa !?
 
Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!

Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
Yule hakuwa na ulimbukeni wa Urais, pamoja na Urais wake alipenda kujichanganya na wananchi.
 
Yule hakuwa na ulimbukeni wa Urais, pamoja na Urais wake alipenda kujichanganya na wananchi.
Muhutu ndo alivunja rekodi kwa nyomi la walinzi lakini haikuvua dafu kwa wazee wa Luangwa mkoani Lindi noma sana walimtest kumfukizia moshi katikati ya nyomi la Makilikili
 
Huu upuambavu ulianza kwa Magufuli, magari kibao na helkopta angani
Kwa taarifa tu, nishafanya kazi na Bi Samia, Masauni, Nahodha na wengine tu

Cha msingi ni kuona Bi Samia anaachana ujinga wa misafara...

Ziara zitapendeza bila ya kuwa na rundo ya usalama... Wanakera mno...
 
Hilo la msafara ni mkubwa kuliko kiongozi wa nchi za Ulaya...
 
Yule hakuwa na ulimbukeni wa Urais, pamoja na Urais wake alipenda kujichanganya na wananchi.
...... na chopper juu ya kichwa chake... Ni upumbavu mkubwa kotokea ktk nchi yetu
 
Marekani Samia alikuwa na Magari 3. Yake na walinzi 4, walinzi wengine pamoja na nyingine iliyobeba wasaidizi wa karibu. Daktari, Katibu na Mkurugenzi wa Mawasiliano
 
Angalia usije haribu mimba,una chuki na serikali mpaka mashavu yamekufura!!..
 
Kwa taarifa tu, nishafanya kazi na Bi Samia, Masauni, Nahodha na wengine tu

Cha msingi ni kuona Bi Samia anaachana ujinga wa misafara...

Ziara zitapendeza bila ya kuwa na rundo ya usalama... Wanakera mno...
Mimi sijakataa, ila nilimjibu huyo mdau aliyesema hii inatokea awanu hii kwa sababu inaendeshwa na awamu ya nne
 
wajameni swala la ulinzi wa rais sanasana ni la vyombo vya ulinzi na usalama. kuna usalama wa taifa, polisi,ulinzi wa rais n.k mambo mengine hapangi yeye na wala hajui walinzi wake wamepanga nini. kuhusu msafara wa magari 25,huko naamini ndio hajui kabisaa kwamba huko nyuma kuna mkururu wa magari mangapi, hebu fikiria, kuna viongozi wa chama, mkuu wa wilaya,dso,ocd, mkuu wa mkoa,Rso,rpc, mawaziri, wakurugenzi, lakini pia kuna timu yake ya ikulu na viongozi wengine wengine ukiangalia vizuri hata hayo 25 bado ni machache. labda tu asome uzi huu apige marufuku baadhi ya viongozi kujiunga kwenye msafara wake,ila kwenye ulinzi ni ngumu kumeza bwashee
 
Hao hawalambi tu bali wanabwia asali
 
Kiongozi wa nchi anatakiwa kulindwa kwa udi na uvumba
 
Awamu ya nne ndege ilikuwa inajaa hadi wazamiaji na kwa hiyo usiulize sana kwamba kwa sasa tunaongozwa na awamu ya ngapi mpaka unaona msafara una magari mengi, wanalamba asali huku wakipapaswa.
Magufuli ndio rais alieongoza kwa kuwa na msafara wa magari mengi, tuseme ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…