Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

Rais anapoenda mahali popote, viongozi wa eneo anapoenda, lazima wakampokeee......hayo magari yote wanaoyaandaa ni viongozi wa eneo analotembelea...hiyo iko ivyo dunia nzima
 
Na lile dude lenye mapangaboi linalotupepea toka angani!
 
Umesahau Jiwe alikua mpaka na escort ya chopa?!
 
Msafara wa aliyetangulia ulikuwaje
Mbona ulikuwa msafara mkubwa tu hadi na helikopta
Mbn hamkulalamika

Jk naye msafara wake ulikuwaje teh teh

Kna wakt mpk ma rc walikuwa na misafara mbn

Ova
Ulikuwa ujazaliwa wakati wakilalamika
 
Mafuta ya bure kwann wasiwe na msululu.uongozi ni ajira na sio wito
 
Awamu ya nne ndege ilikuwa inajaa hadi wazamiaji na kwa hiyo usiulize sana kwamba kwa sasa tunaongozwa na awamu ya ngapi mpaka unaona msafara una magari mengi, wanalamba asali huku wakipapaswa.
Masikini nchi yangu? Hivi Riz 1 atakomea unaibu waziri tu au yajayo yanafurahisha?
 
Hata Sheikh Mkuu wa Tanzania na pia Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar wana walinzi....mambo ya ajaab kabisa[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mi nashauri Rais alindwe na Wamasai, ili mleta uzi aache kuleta nyuzi za namna hii...
Haswaaa. Hakuna namna. Wanasema ccm imeleta amani na majirani wanatuonea gere, mara Pa! Maving'ora na matrafiki chungu nzima barabarani ...duh! Unakaa unajiuliza, uoga wa nini tena??!
 
Mkuu,
Hoja yako ya mwisho ndo palipo jibu la kwa nn wanakuwa na msafara wenye magari 25-30.

Kama mafuta lita tshs.3300 na ile kauli kwamba bei ya mafuta kwa USA ni kubwa kuliko Tz, unadhani watapata wapi nguvu ya kutembea na msafara wa magari machache!!!

Hawa wanafahamu kwamba watanzania wana hasira nao ila tu hawana namna.
Serikali yetu haifikirii kuwarahisishia maisha watanzania bali ni kuwakamua kadri iwezekanavyo.

#punguzeni kodi katika mafuta ili bei ipungue.
 
AIRFORCE ONE Boeing 747-VC-25A,ndege anayotumia Biden inatumia dola 178,000 kwa kila saa inapokuwa angani TZS 427,000000
 
Wasiokumbuka hujikuta historia ikiwakumbusha..
 
Rais anapoenda mahali popote, viongozi wa eneo anapoenda, lazima wakampokeee......hayo magari yote wanaoyaandaa ni viongozi wa eneo analotembelea...hiyo iko ivyo dunia nzima
Kaangalie kwanza interview ya Rais na Tido Mhando wa Azam.
 
Tindo wewe umetinduaa kweli kweli. Hii coment yako inaeweza kuangusha mbuyu kama asomae awaye yeyote akatafakari. Na unyani wetu waafrica ndy hapa. Kudos man
 
Tunawadai mambo mengi sana ndio maana wanajitenga ili tusipate nafasi ya kuwauliza.

Kwa mfano kwenye interview na Tido bado akatumia msafara within the premises za Ikulu.

Yaani ilishangaza mno.
Dah Mkuu hata wewe!
 

Mnachoshindwa kuelewa ni kimoja tu. Kiongozi wa kitaifa anaposafiri na msafara sehemu yoyote ya nchi, anakuwa na msafara wa magari kati ya matano mpaka saba. Mfano akitoka airpot kwenda ikulu, anakuwa na msafara mfupi sana ukilinganisha na akiwa kwenye ziara. Kwenye ziara msururu huwa mrefu sana kwa sababu wakuu wa taasisi za serikali na pengine wa taasisi za kibinafsi huwa hapo kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa jambo lolote ambalo litajitokeza kipindi cha kiongozi mkuu anapokuwa ziarani.
 
Picha muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…