Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Za kijinga haziwi fikraUna fikra za kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kijinga haziwi fikraUna fikra za kijinga
Yo!Karibu Marekani mkuu.
Weekend hii tuko na Kiba For Real DMV.
Hapa tunajadili mambo ya visa za Marekani, interviews, safari z anje ya nchi, na mada kama hizo.Imeingia kwa kile ulicho kinena Mwenyewe! ''Umesahau mara hii?? au ulikusudia kuropoka Mkuu! any way rudia kusoma ulicho andika!!
Uzi unanihusu sana tu, Mimi km Mwana JF!! nina haki nao!! mie ndo sisi wana JF halali, kama weye, ni haki ya msingi kunena lolote ilimradi sivunji sheria!! kamwe sheria zaJF hazinitengi kwa hilo! sorry! umeropoka!anzisha uzi wako, usiharibu nyuzi za watu.
Hekima hii itakusaidia, Biblia Takatifu; Methali... yasema Nanukuu = Mpumbavu ukimtwanga ktk kinu akawa km unga! then ukamuumba tena, utaumba na Upumbavu wake vilevile!Kama una nyege za kumfia Mungu wako anzisha uzi wako,
chapisho lako hili number 297!! unajua kwanini umeyarudia?Una nyege na mimi?
Proverb 26;11 pata uongozi kuwa kwanini umerudia, utakuwa nani mbeleni! ..Biblia ni taamuuu saanaaa!una nyege za kumfia Mungu
Anzisha uzi wako wa Biblia na Mungu basi tujadili huko, hapa unaharibia watu uzi wao wa Visa za US.Uzi unanihusu sana tu, Mimi km Mwana JF!! nina haki nao!! mie ndo sisi wana JF halali, kama weye, ni haki ya msingi kunena lolote ilimradi sivunji sheria!! kamwe sheria zaJF hazinitengi kwa hilo! sorry! umeropoka!
Zaidi kasome sheria na kanuni za JF then urudi ! ulijiunga bila kusoma sheria za humu Jf!
Hekima hii itakusaidia, Biblia Takatifu; Methali... yasema Nanukuu = Mpumbavu ukimtwanga ktk kinu akawa km unga! then ukamuumba tena, utaumba na Upumbavu wake vilevile!
km haitoshi hivi; ''Acheni Magugu na ngano viote pamoja!! Wewe ni gugu!.... lazima uote, miongoni mwetu! hakuna jinsi!
Sijaharibu uzi wa mtu!! mie niko na wewe!! hao waache waendelee huko!.....ila…. unakila dalili za kutubu tena hivi karibuni ...jiandae Mkuu!!!!! unasikia?Anzisha uzi wako wa Biblia na Mungu basi tujadili huko, hapa unaharibia watu uzi wao wa Visa za US.
Wewe unamuamini Mungu gani huyo anayefundisha kuwaletea watu wengine mambo tofauti kwenye nyuzi zao?
Nimekupeleka ignore list.Sijaharibu uzi wa mtu!! mie niko na wewe!! hao waache waendelee huko!.....ila…. unakila dalili za kutubu tena hivi karibuni ...jiandae Mkuu!!!!! unasikia?
Yaaani huo ni Utoto sana!! huwezi kujificha humu JF! hata utambike uchi Labda utoke kabisaaa!!!.....unaonekana weye ni mgeni ktk matumizi ya kompyuta!....Hii ndo tabia yako ulisha niweka huko miaka mingiNimekupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachopost.
Mpinga kristo namabari one!! …...sijui yupi unampinga?? make kuna kristo wengi!!…..Usinambie hujui kristo gani unampinga ntakushangaa sana!
Nimekupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachopost.
Halafu mtu mwenye fujo hivyo anakuhubiria habari za Mungu!Kwahili
Kiukweli kakuonea.
Hoja yake na mada tajwa vitu viwili tofauti.
Halafu mtu mwenye fujo hivyo anakuhubiria habari za Mungu!
Naona kama Mung huyo watu wanaomfuata wana kichaa hivi, sina haja ya kumfuata.
Unarudi kulekule.Hapana
Hatuna ukichaa!!
Sema tunataka kulazimisha kila mtu amjue, hapo ndipo ilipo shida.
Mungu mwenyewe anatutaka tumpende kwa hiyari tu.
Ila pamoja na yote, huwa nakuombea ukutane naye na utambue yupo.
Ipo siku, utatambua kuwa Mungu yupo, usisitr kuja kunishukuru kwa kukuombea.
Dah MUNGU unae muhubiri wewe ni huyu huyu ambae biblia inamtaja kweli?Uzi unanihusu sana tu, Mimi km Mwana JF!! nina haki nao!! mie ndo sisi wana JF halali, kama weye, ni haki ya msingi kunena lolote ilimradi sivunji sheria!! kamwe sheria zaJF hazinitengi kwa hilo! sorry! umeropoka!
Zaidi kasome sheria na kanuni za JF then urudi ! ulijiunga bila kusoma sheria za humu Jf!
Hekima hii itakusaidia, Biblia Takatifu; Methali... yasema Nanukuu = Mpumbavu ukimtwanga ktk kinu akawa km unga! then ukamuumba tena, utaumba na Upumbavu wake vilevile!
km haitoshi hivi; ''Acheni Magugu na ngano viote pamoja!! Wewe ni gugu!.... lazima uote, miongoni mwetu! hakuna jinsi!
Muongo wewe ndo umetukana lkn nikakujibu kwa vifungu vya Biblia! sasa nani ana fujo avatar mbilimbili! unatoa hoja unajitete tena Pc yangu inasoma finger print pia!Halafu mtu mwenye fujo hivyo anakuhubiria habari za Mungu!
Naona kama Mung huyo watu wanaomfuata wana kichaa hivi, sina haja ya kumfuata.
Mkuu Neno la Mungu linahubiriwa popote pale hata chooni hubiri tu kuna viumbe hai!!Sitegemei watu wanaojinadi kumjua Mungu wawe na tabia mbaya za kuharibu nyuzi za watu.
Mada hapa ni mwana kapata vizaMuongo wewe ndo umetukana lkn nikakujibu kwa vifungu vya Biblia! sasa nani ana fujo avatar mbilimbili! unatoa hoja unajitete tena Pc yangu inasoma finger print pia!
Huyo ni wa kwako na biblia yako! ziki nyingi hizo, mie situmii biblia unasikia!! Mungu aliye nituma nimkamate Kiranga popote alipo nimrudishe kundini ni wa tofauti sana!Dah MUNGU unae muhubiri wewe ni huyu huyu ambae biblia inamtaja kweli?