Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda


Hapana Ni mrefu mwembamba wastan anashepu hana alama uson na ni maji ya kunde ni Nurse pia
 
Japo roho inauma lakin papara haina maana unaeza kuua mtu bure au ukaumia ukafa haya maisha hayapo fair kila siku
Kama vipi, ww mwambie umekuwa unafahamu yote anayofanya unapokuwa safari! Hivyo uliamua kurudi mapema na kufuatilia nyendo zake zote! Unayajua yote! Unachotaka yy mwenyewe ajieleze bila kuficha chochote kwani unajua vituko vyote! Na yamkini unaweza fikiria kuendelea nae kama hataweka uongo wowote😡!
Vinginevyo huoni namna ya kuendelea nae😠!
 
Kitaalamu hili tunasema "Jino kwa jino".

Mkeo anafanya kama unavyofanya.
 
We jamaa una utulivu kama mimi, Subiri ndege aingie mwenyewe mtegoni.

Matukio kama hayo huwa yanafaa surprise. Aje akukute tu home umechill. Alafu ukiweza chati nae saana kama akijibu sms yako.
 
Jiandae kesho kule kwenye TUNDA KIMASIHARA kujionea ushuhuda jamaa alivyojilia mbususu waziwazi

Inawezekana nahis pia huwa kuna sehem anasemaga anaenda kuchukua Muv na hapa nimecheck flash nichek muv zangu sijaikuta
 
Umejiandaaje? kama akirudi leo utafanya nini. Akirudi kesho utafanya nini.
 
Unafel mkuu..mpigie simu mchepuko wako aje hapo home na nyinyi wekeni tamthilia yenu...wife yeye akirudi atakuta tayari mpo epsode ya nne au tano hivi...
 
We jamaa una utulivu kama mimi, Subiri ndege aingie mwenyewe mtegoni.

Matukio kama hayo huwa yanafaa surprise. Aje akukute tu home umechill. Alafu ukiweza chati nae saana kama akijibu sms yako.

Ndio nachotaka kufanya naona wasap anaingia na kutoka na data anazima akiwa home amezoea kunipigia video call leo naona hawez
 
Kwa namna yoyote ile ukifanya ajue kua umejua hayupo utafeli kumnasa Ready handled.

Chakufanya,
-Toka hapo home,
nenda kabane sehem barabara ya kuingia kwako inaishia afu piga Rada uone ataletwa na Nani na atakuja SAA ngapi.
Baaada ya uchunguz nenda kalale pengine mpk kesho MDA ulopanga urudi.

-kesho yake ukirud Anza KAZI yako ya upelelezi pole pole utamjua IN &OUT
 
Ndoa ndoano ndo hii

Pole sana..


Binafsi nimegundua nachukia uongo kuliko cheating....
Kuna watu walipata kusema,hata kama ingetokea UONGO ungekuwa ni jambo zuri na ukitenda uongo unapata swawabu,basi wasinge sema uongo kwa ajili ya kujitakasa.

UONGO mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…