Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Ila tafakari sana. Why imetokea hivyo. Maana kama sio chepuko lako limebugi saa hii na wewe ungekuwa somewhere.
Nakushauri relax, omba Mungu, samehe, usichepuke tena.Kama na yeye kweli atakuwa kaenda chepuka ni kosa. Sameheaneni. Maisha yaendelee kama kawa.
 
Harafu umeandika mwandiko wa FB
 
Shekh mark siku ya leo kama game changer kwa maana kila kitu kina kusudi lake, wewe umemdanganya unarudi kesho na yeye kakudanganya yuko home kama sio mchepuko wako kudelay basi siku ya leo ingepita bila kupitia unayopitia sasa hivi.

Ushauri:rudisha mpira kwa kipa panga formation upya huyo mama atulie inawezekana anajua michezo yako ya offside iyo sema kaamua kulipiza.

AN EYE FOR AN EYE.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pole sana ,usitoke hapo msubili arudi akukute hapo home
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mpigie simu mwambie kuna mtu yupo home hapo nje mpe elfu 5 anandai na anashida nmemwambia nmesafiri ila achukue kwako..
 
Mimi hapa nipo kusubiria mrejesho tuu sinyanyuki hata kwa dawa! Huyu mwanamke hawezi kutulaza macho JF nzima lazima tujue mwisho 🙄
 
Thanks hii msg ntaituma ikifika saa sita usiku
Usitume hii msg mkuu,

Utaharibu Mambo yote, unachotakiwa KUFANYA Ni kujua mchezo mzima Hadi na Yule anayetoka Naye ili ukomeshe tabia iyo jumla.

Apa Kama mwanaume unatakiwa umepeleleze afu ukishamgundua MCHIMBE MKWALA Mizito.

Akishatulia msimulie A-Z tangu mwanzo ulivoyajua Mambo yake MDA mrefu ila ukauchuna Kimya.

Hakika atakuogopa mno, atajihisi aibu na naamini atajuta na sidhan Kama anaweza rudia UPUUZ T huo tena.
 

Ndio maana sina papara isingekuwa ule mchepuko kutopokea simu na kutokuja kunipokea sahii ningekuwa guest nakula na yy analiwa huko nikirud sijui chochote ila hii imeonyesha maisha tunayo ishi ya kufichana vitu japo yy ndio ameanza hiv karibu but kumsamehe itakuwa ngum sana
 

Itabid kumsamehe hapa unacho maanisha?
 
Hapo hamna kitu ushapigwa hakuna kitu kibaya kama mweza kuongea uongo huo ni ushenzi, Wife wangu hata akitoka kazini ana hamu ya bia hawezi kaa mahali bila ruhusa yangu, hata kama yupo home anataka kwenda mahali hawezi kwenda bila kutoa taarifa...hata kama nipo safarini
 
Ushauri wa uwongo sana huu...hapo ni kumuita mchepuko home...wale vitu vyao..wife akirudi na yeye aje tamthilia yake
 
Inawezekana nahis pia huwa kuna sehem anasemaga anaenda kuchukua Muv na hapa nimecheck flash nichek muv zangu sijaikuta
Duh, halftime wanacheki collection za movie zako eeh!? Ila nyie wanawake unajua Mungu anawaona eeh😡!
 
Oyaa....tunaenda kulala...
[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Ushauri wa uwongo sana huu...hapo ni kumuita mchepuko home...wale vitu vyao..wife akirudi na yeye aje tamthilia yake
Akifanya hivi, atabalance story, means hawezi pata mwanamke ndani ya usiku mmoja na kumleta home.

Mwanamke atasema alijua ana mchepuko akalipiza.

Solution jamaa leo awe Saint kabisa, tena akisharudi kama ni mimi wala nisingeanza kwa kuwaka, Namwambia tu aya mtoto mzuri nieleze ulikuwa wapi usiku huu?

As time goes hasira huwa zinakuja zenyewe tu, na adhabu huwa inachaguliwa, au unamwambia lala mtoto mzuri utaniambia kesho.

Akiingia pora simu, Msamaha utatoka endapo atatoa password
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…