Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Mimi nafikiri harudi leo. Lala tu mkuu. Fanya maombi ya toba kwa ajili yako na yake. Halafu wewe wacha kuchepuka. Ikimbie zinaa. Labda wewe ulianza chepuka na mrs analipiza maybe.
 
Huenda hapo unalea watoto wa mshikaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukute hata hayupo kwa mwanaume bali yupo kanisani kwenye mkesha wa maombi au mzikitini kwenye mauridi🤔!
Ila tatizo kwa nini akudanganye yupo home mnaangalia naye tv wakati upo mwenyewe🤔!?
 
Nimemtumia msg wasap na kawaida ya Usiku mwema naona hajajibu ngoja tuone
 
Muage mchepuko wako kabisa. Mwambie kuchepuka basiii coz umechomwa na mkuki mzito
 
Ntawapa mrejesho Amerudi saa ngapi home na majibu yake yatakuwa ni yapi saa tatu na Nusu sasa hajarudi
mkuu 2ma ile msg alokushauri jamaa kisha mpigie mchepuko funga mlango usifungue mpaka kesho na huyu hapo asije tena hapo
 
Mkuu unaishi Dar sehemu gani?
Je mkeo ni mfupi wastani mweusi ana kialama flani usoni?

Kama ndo huyo basi atakuwa analiwa na bro mmoja muuza majeneza hapo mitaa ya Mwananyamala.!

Nasema hivyo sababu kila mara nikija Dar huwa nafikia kwa hiyo jamaa ni rafiki yangu kikazi maana sote tunauzaga majeneza sasa mara kadhaa niliwahi kukuta akiwa na mwanamke flani kama huyo na akanambia kuwa huyo ni mke wa mtu na huwa anamla pindi mmewe akiwa mbali.

Mbaya zaidi huyo jamaa huwa anakulaga tigo peke yake, jamaa aliwahi kunambia kuwa mademu zake wote anakulaga tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…