Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Thats soo sweet of u, hope ur husband read this... did he read ?

Lakini majitu mengine bwana kuharibia mood wenzao... hebu muacheni mwenzeno jamani a express her feeling...
 
Love you too darling. Can't live without you. Umenikumbusha mbali kweli, siku ile nilipokuona kwa mara ya kwanza, moyo wangu uliongeza kasi ya mapigo. Nilijiuliza ntakutokeaje, na je nikipata ujasiri wa kukutokea halafu ukanikatalia ingekuwaje.

Nashukuru hukuniangusha. Japokuwa sikukukuta bikira, lakini sikujali. Hao walionitangulia hawanibabaishi. Najua hawana nafasi kabisa katika moyo wako. Walikuwa wanajifunza tu darling. Ntakupenda daima. Sitakuangusha.

Luv u my carpet and ceiling board.
Chris.
mmmmmh cris weeee, umesahau sili silali nakuwaza wewe, waridi wa moyo wangu, wanichoma mkuki moyoni, nikinywa maji nakuona kwenye glass, barafu wa moyo wangu, nyongo mkalia maini, mahabuba, laazizi,............. mahaba ya enzi zetu zileeeee, usiposikia hayo maneno huna raha..... wizi mtupu

haya na wewe ulitaraji kukuta mwanamke mwenye bikira dunia ya leo hii??? nani anataka beginner akaanze kumfundisha lala chali, panua miguu mara shika hapa mara kata huku eeh!!! watu wanataka vitu ready at market place with all necessary skills. na ukikuta bikira mchunguze vizuri mitaa ya uani huenda watu walikuwa wakiingilia mlango wa uani....... watch out hun!
 
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u

921-i_love_you_teddy_bear.jpg

Asante mke wangu kwani picha kwangu aifutiki kwenye akili yangu pale tulipokuwa kanisani tunasaini cheti ukaniambia sisaini kwa maneno ya chini du sitasahau kwani ulini joke. du pia pale tulipokuwa ukumbi uliposhuka kucheza music na babu yangu eti ndio mumeo halali. mke wangu sitakuacha milele kama maandiko yalivyo pia mungu atuzidishie penzi letu kila siku unione mpya na mimi nikuone mpya i say: I love you so much.. najua hukujua kama mimi nimo humu ila watu wengi wanakuuliza mumeo yupo waambie yupo. asante kwa kuni publish katika JF yetu tuijenge iwe safi zaidi. asante mke wangu
 
who is your hubby here my bestlady????????nimechanganyikiwa...............

bht my bestlady yupo ila sijapenda kumuweka wazi kabisa ... labda kama yeye atapenda na akisema mie nita- confirm
🙂
 
naomba msi-ignore post yangu ni mapenzi tu yamenijaa kwa huyu barafu wa moyo wangu ...nakumbuka kile kiapo pale church you mean a lot to me i love u

921-i_love_you_teddy_bear.jpg

aaah asante wife..huku niliko nakuwaza wewe tu ..hivi umejuaje na mimi nimekumisii nakupenda my life time partner...
 
bht my bestlady yupo ila sijapenda kumuweka wazi kabisa ... labda kama yeye atapenda na akisema mie nita- confirm
🙂

eeem mayo wache wengine wapige kelele za debe tupu hapa
BTW: jana nilimfumania mtrajaiwa wangu akiunganishiwa na shemeji zangu eti kwao hakuna mambo ya mke mmoja....
I was very disappointed my bestlady!!!
 
Thats soo sweet of u, hope ur husband read this... did he read ?

Lakini majitu mengine bwana kuharibia mood wenzao... hebu muacheni mwenzeno jamani a express her feeling...

Thanx Nomane my husband is active member of JF ......message sent

Hao wengine kina Nguli ,sijui Xpin ,Fidel80,Burn bla bla zao tu .🙂.
 
Mbona wengi wanajitokeza F1 sasa sijui mmeo ni yupi.
 
Halafu wewe mama nakumbuka ile siku nilopokudondokea eti uliniambia hunitaki kumbe sitaki nataka dah,now we have three years 2geza enjoying our YES I DO...love you too my strawberry....Halafu unalikumbuka lile first kiss letu pale......
 
Lol afadhari naona na si wengine tutapewa nafasi ya kukuliwaza, hii tender kwangu ipo free.

kwani nimemwacha.........tunayazungumza kwa taarifa yako
sasa najua kwa nini kila uchao huwa unamuulizia .....shindwa na roho mbaya yako Fide!!!
 
sasa najua kwa nini kila uchao huwa unamuulizia .....shindwa na roho mbaya yako Fide!!!

Dua la kuku halimpati mwewe.
Utanasa tu kwenye himaya yangu wewe ruka ruka tu utakuja kutulia tulii.
 
tofauti na hao ni wa ukweli

Bht my bestlady wewe nitakutambulisha shemejio lakini yeye ni mwanasiasa mzoefu ndo maana tunatofautiana majukwaa hata thanx simpi🙂
 
Back
Top Bottom