Leo naolewa

Mkuu ndo basi tena huwezi kuwa online tena mda mrefu especial muda wa usiku...nasubiri mrejesho kesho!
 
Mmmh. Wana jf bhana hatusahau?
 
Baraka kwako, naktakia kila la kheri monicca
 
Kuna wakati JF inakuwa kama familia hivi.
Hongera bana, japo kadi ulininyima.
 
Hizi smart phone hizi... kama vile bunge kujirekodi yenyewe....

Bibi harusi hata siku ya ndoa yako baada unahangaika mitandaoni...

Au kuna mtu unamtambia...
 
Hongera na kama upo ofisini jiandae kisaikolojia kutopata ofa na upendeleo kutoka kwa wakware wote hapo ofisini mara nyingine umefanya uamuzi sahihi wa kufunga ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…