Hapana sifanani nayo kabisa nimeeleza huko nyuma kuhusu hiyo avatar. Ni askari wa kenya alivyo mnene nilivyoiona nilicheka sana ndio nikahamua kuifanya avatarKhaa hufananii na huo umri vituko ulivyonavyo humu jf
Hiyo avatar yako unafanana nayo?
Hahahah...Kwamba hayo mazao unalima wewe tu peke yako hapo Moro? Ama wewe ndo mzalishaji mkubwa hapo?Nikitaja mtanigundua me ni nani nahifia hilo
Kuna baadhi ya topics uwa nachangia sana kama ukiwa unanifuatilia kwa karibu. Hata michango MMU uwa natema sana madini. Jukwaa kubwa nilishauri lianzishwe kwa hiyo najionaga kama nina share kuleZaidi ya 80% ya threads zako hapa JF ni jukwaa lile.
Unasemaje kuhusu hili ukizingatia wewe ni msomi wa kiwango cha Shahada ya uzamili ambaye pengine tulitegemea kuona unatufundisha mambo kadha wa kadha kuhusu interactions na mambo ya kitaaluma
Mkuu, nikweli uliwahi kukaa jela pale ukonga kwa muda flani..??Naishi kwenye nyumba ina ukuta eneo lote na pia ni pakubwa sana majirani wako mbali sana
Ni mazao rahisi na kila mtu anayo ila mimi nimelima kwa wingi sanaHahahah...Kwamba hayo mazao unalima wewe tu peke yako hapo Moro? Ama wewe ndo mzalishaji mkubwa hapo?
Vinginevyo sio rahisi kukugundua.
Although hata tukikugundua[emoji134] sisi sote ni ndugu, na tena itakuwa rahisi kusaidiana.
Asante kwa jibu lako mujarab kabisa...Sijawahi kukaa jela hila selo nimekaa mara mbili hivi polisi