Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Khaa hufananii na huo umri vituko ulivyonavyo humu jf

Hiyo avatar yako unafanana nayo?
Hapana sifanani nayo kabisa nimeeleza huko nyuma kuhusu hiyo avatar. Ni askari wa kenya alivyo mnene nilivyoiona nilicheka sana ndio nikahamua kuifanya avatar
 
Zaidi ya 80% ya threads zako hapa JF ni jukwaa lile.
Unasemaje kuhusu hili ukizingatia wewe ni msomi wa kiwango cha Shahada ya uzamili ambaye pengine tulitegemea kuona unatufundisha mambo kadha wa kadha kuhusu interactions na mambo ya kitaaluma
Kuna baadhi ya topics uwa nachangia sana kama ukiwa unanifuatilia kwa karibu. Hata michango MMU uwa natema sana madini. Jukwaa kubwa nilishauri lianzishwe kwa hiyo najionaga kama nina share kule
 
Hahahah...Kwamba hayo mazao unalima wewe tu peke yako hapo Moro? Ama wewe ndo mzalishaji mkubwa hapo?

Vinginevyo sio rahisi kukugundua.

Although hata tukikugundua[emoji134] sisi sote ni ndugu, na tena itakuwa rahisi kusaidiana.
Ni mazao rahisi na kila mtu anayo ila mimi nimelima kwa wingi sana
 
Ni changamoto gani uliipata wakati unaanza ujasiliamali na uliitatuaje?

Kwenye ufugaji wa kuku unamshaurije mtu mwenye mtaji mdogo mf 50,000? Nini azingatie ili awe mfugaji mkubwa?
 
Ni vigezo gani mwanaume aliyeoa azingatie abapoamua kuwa na mchepuko?
 
Back
Top Bottom