Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Mkuu katika matrekta yako;; embu niazime mmoja nirudi kijijini kwa babu yangu nikapambane na shamba. Nimechoka maliza sori ya kiatu changu kuzunguka mjini posta na bahasha ya kaki bila mafanikio.
Andaa business plan kwanza uniletee nione unataka kufanya nn naweza kukusaidia, pia nijue huko wapi siwezi kutoa trekta Morogoro kwenda Ruvuma
 
Mpaka sasa hivi hapo ulipo umeshatembelea nchi ngapi duniani?na je kuna funza dume la jike,au funza yoyote anemuwahi mwenzake jike kwa wakati huo anaofanywa?na je we umeshawahi kuwahiwa na funza mwenzako?maana unajiita funza dume
Nimefika nchi zifuatazo Africa
1. Kenya
2. Uganda
3. Msumbiji
4. Ghana
5. Nigeria
6. South Africa
7. Namibia
8. Botswana

Mbele
1. Germany
2. UK
3. Belgium
4. Netherland
5. China
6. Dubai
 
Ninapima ila sio kila mwezi wala kila mwaka ninapima ninapojisikia kupima na siogopi kupima

Nikiachana na mchepuko nitajaribu kuipotezea kwa muda ili niishi maisha huru. Michepuko ni kama utumwa fulani hivi ingawa ni kama addiction
Kumbe unatambua hilo kuwa ni addiction? Jaribu kutafuta kitu mbadala kama kukimbia, jogging, kunywa chai au kahawa jioni, soma vitabu, kama una watoto jenga tabia ya kuwasomea kila jioni utaona muda unakwenda. Wapeleke watoto kutembea jioni kama unarudi muda muafaka. Usitoe visingizio vya foreni kumbe unakwenda michepuko. Unapoteza pesa ambazo ungejenga familia imara na yenye furaha sana.
 
Tupe experience yako ya kucheat kwenye mapenzi siku ya kwanza ilikuaje? Unaungana na CAG a SPEAKER? HIV status yako ipoje? Ni hayo tu kwaleo?
 
Nauopokea ushauri wako na nitaufanyia kazi. Ubarikiwe
 
Nini ushauri wako kwa uongozi wa JF? Mapendekezo? Nini utawaambia ukikutana nao?
Uongozi wa JF naupongeza kwa kazi nzuri wamekuwa wakiboresha mara kwa mara sioni mapungufu yoyote na nina imani wanapiga hela kwa kazi hii wanayofanya ningeonana nao ningewapa pongezi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…